Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,957
- 183,566
Kwahiyo kumbe sio tatizo!!!Hahaha huo sio wizi bali ni kupeana assist km marafiki
Kwahiyo kumbe sio tatizo!!!Hahaha huo sio wizi bali ni kupeana assist km marafiki
Ni tatizo, we huoni wanavyolalamika kuchapiwaKwahiyo kumbe sio tatizo!!!
Kuchapiwa ni siri ya ndani.Ni tatizo, we huoni wanavyolalamika kuchapiwa
Hahahaha kwa kauli hii nina maswali mengi juu yakoKuchapiwa ni siri ya ndani.
Hahahaaaaa!!! Yaulize tu.Hahahaha kwa kauli hii nina maswali mengi juu yako
Kama vile tu ambavyo unaoa alafu bado unagegeda nje.Ndoa hzi... Yan unaolewa afu bado unagegedwa nje!
Inamana nawe ni miongoni mwa wachepukao(kugawa assist)?Hahahaaaaa!!! Yaulize tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inamana nawe ni miongoni mwa wachepukao(kugawa assist)?
Kuchepuka inatumika kwa walio kwenye mahusiano ya kimapenzi. Sio mpaka ndoa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi si walioko kwenye ndoa ndio huo msamiati wa kuchepuka unawahusu eeh!!! Basi mimi sichepuki.
Basi mimi sichepuki.Kuchepuka inatumika kwa walio kwenye mahusiano ya kimapenzi. Sio mpaka ndoa
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120]Keep it up
Uendelew hivyo mpaka ndoani