Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Hii tabia inakua

Jirani kuna kaka anaoa keshokutwa ila wala haonyeshi kuacha ukicheche wake. Sasa najiuliza anaoa ya nini
 
wapo wengi tu wenye tabia km hizo ishu inakuja kwenye KUKAMATWA KILA MTU ANAKAMATWA KIVYAKE NA ADHABU ZINATOFAUTIANA ....SIUNAJAZA IKIFIKA KUJAZWA NDO UTAIJUA JUNEJULY
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Habari kama hizi nishazishuhudia sana, wengine huenda mbali hadi kuzaa, yaani lazima apate chata ya huyo anayempenda.

BTW mapenzi na best friend huwa yananoga sana.
Yananoooga eee[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ndugu yangu hapa Tanzania tuna makabila takriban 120. Kama inawezekana acha kabisa unachokifanya.
 
Nunua KY kabisa ukae nayo karibu mda si mrefu utafumuliwa marinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu nimecheka kweli eti nunua KY[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna MWANAUME ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii"

Wapo wengi sana mimi mwenyewe mmoja wapo..ila kuwa makini sana mkuu, ishu ikija kubumburuka utakuwa matatani
wewe ni mwanamke mkuu????
 
Ha ha ha free P . nimekumbuka mbali.
Wewe mwache si anajitoa mhanga .
Hivi mfano mkuu ukute mke wako ndiyo anamuongelea. Utafanyaje
Sikuoa punguani mimi! Mungu anakupa wa kufanana na wewe siku zote.
 
Huku tunahangaika kuomba michango ya harusi, waolewaji kumbe ni vichaa. Mungu anawaona mjuwe.
 
Ila nyie sio waoga jamaan msijiachie kihivyo na wewe unapenda ebu kuwa mkali we ni mwanaume
Aliwahi sema yeye ni sikio la kufa...
Ila kuna mpango naundaa, soon ntaleta mrejesho!
 
wewe ni mwanamke mkuu????
Hapana, mimi ni mwanaume,
mkuu uwe unajaribu kusoma vizuri...hujaona hapo nimemquote ameandika AU KUNA mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...!!!!

Usikurupuke uwe unasoma kwa makini...mimi nilivyomquote nilisoma kiundani na nilimuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom