Hii ni hatari, huyu mwanamke atazua balaa!

Miezi mi 4?mi nakupa mingine mi wili uje tena hapa utueleze kilichokutokea.acha dhambi kama za @joservet
 
Broo nihatariii kwa afya jamaa mwenye mahari yake anapita na kichwa cha booo mzeya
 
we endelea kumtafuna halafu ukumbuke kuwa makini usishikwe usiache papuchi ya bure hiyo watakucheka watu...
 
Mtia Mara we ni mchawi tu hamna namna unatembea na mke wa MTU unaona sawa..
 
Wanajamvi heshima kwenu!
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, ni hivi yupo binti mmoja aliyekuwa rafiki yangu lakini tukajikuta tumeingia kwenye mahusiano, naweza sema hayakuwa rasmi kwani kila mtu alikuwa na mtu wake!
Ilifika mahali huyu binti akawa anakuja kwangu muda wowote niwapo na yeye akiwa yupo free, then mambo mazito ya kiutu uzima yanafuata!
Hali hii iliendelea na alikuwa akinitamkia wazi kabisa japo ana mchumba wake lakini akiolewa mwendo ni huo huo, kamwe hatoacha kuja kwangu au kutoka na mimi...
Alikuwa akirudia mara kwa mara lakini nikawa nampa tahadhari!

Kwa sasa ni miezi minne imeisha tokea afunge ndoa na mme wake, lakini yale maneno aliyoniambia ameamua kuyasimamia hivyo amekuwa akitaka kukutana na mimi mara kwa mara na wakati mwingine anaweza niuliza kama nipo home na nafanya nini, nikimpa jibu linaloonyesha npo mwenyewe na sina ishu sana basi huyoo anakuja!
Kwa sasa kiukweli ndio amezidisha, ikitokea mmewe hayupo kasafiri huwa sometime anafungulia kabisa anaweza shinda kwangu...
Kwa msisitizo anasema lazima amwibie.... wangu tu haachi!
Hivi wana MMU, humu kuna mwanamke mwenye tabia kama za huyu, au kuna mwanaume ashawahi kukutana na mwanamke wa aina hii...[emoji15][emoji15]
Aisee kaa mbali na huyo mke wa mtu siyo wako tena otherwise unatafuta mabalaa
 
Na wewe mkeo watakupigia [emoji38]
 
Habari kama hizi nishazishuhudia sana, wengine huenda mbali hadi kuzaa, yaani lazima apate chata ya huyo anayempenda.

BTW mapenzi na best friend huwa yananoga sana.
Huyo umeisha mpoteza kabisa, hataacha mpaka aweke chata.

Ila akigundulika hatakumbuka kutujuza humu yaliyo mpata.
 
Ukiendelea na uyo mwanamke matatizo utakoyoyapata kama ukijulikana aah! Utajua mwenyewe...ebu fikiria lile tukio la moto lililotokea Arusha
 
Habari kama hizi nishazishuhudia sana, wengine huenda mbali hadi kuzaa, yaani lazima apate chata ya huyo anayempenda.

BTW mapenzi na best friend huwa yananoga sana.
Mambo,
Kwahiyo ilo chata alilolipata nje litaenda kulelewa na mumewe ndani ya ndoa? Muwe na huruma nyie
 
Habari kama hizi nishazishuhudia sana, wengine huenda mbali hadi kuzaa, yaani lazima apate chata ya huyo anayempenda.

BTW mapenzi na best friend huwa yananoga sana.
Nakumbuka kuna dada huyo alining'ang'ania,alinisumbua hadi nilifikia hatua ya kubadili namba kwa usalama wa ndoa yake,kuna kipindi mumewe alikuta email alizonitumia mkewe ambazo nilikuwa zisijibu lakini nilionekana mbaya mimi yule jamaa aliniandikia barua pepe yenye matusi ya kila namna bila hta kuwa na ushahidi wowote. Niliumia sana,nikata kulipa kisasi kwa kutimiza matakwa ya mkewe,ila utu ulinijia,nikatanguliza Imani mbele,nikaendelea na yangu,leo karibia miaka 10 now bado yule dada ikitokea tumekutana hakosi kukumbushia upendo wake kwangu na zaidi anataka mtoto wa damu yangu,Kwakweli kuna baadh ya dada zetu hawathamini ndoa zao kabisa
 
Huku tunahangaika kuomba michango ya harusi, waolewaji kumbe ni vichaa. Mungu anawaona mjuwe.
Umesahau kuna sehemu ulisema humu ulikuwa unatoka na baba gani sijui Mbeya?

Na huyo baba alikuwa na familia yake.

Hapa unashauri nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom