The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,111
- 115,927
Mwanaume unapokuwa na mpenzi wako out hivi
au popote pale.halafu vinapita" vifaa vya kufa mtu" i mean
wanawake wengine wenye urembo na mvuto...
halafu wewe mwanaume ukawa unatazama tazama..unathaminisha hivi...
swali ni hivi kwa nini wanawake wengi wanakasirishwa na hilo?
but hata hivyo wapo wanawake wachache sana,tena wachache sana ambao kwao
hilo sio tatizo kabisa,infact nimewahi kuwa na girlfriend ambae tukiwa pamoja
mfano bar na akaingia msichana mzuri kwa nyuma,alikuwa ananishtua na kuniambia" geuka
uone kifaa"
but wasichana wa aina hii ni very very few.....
swali ni hili kwa nini wanawake wengi wanakereka wakiona mwanaume wake
anatazama vifaa vingine,wakati macho hayana pazia,na kutazama sio kula???????????