Feminism ni tatizo kubwa sana duniani

Xi jiping

JF-Expert Member
May 7, 2021
414
529
Well, kwa msiofahamu
Feminism ni idea ya kumuona mwanamke na mwanaume sawa. Yaan kifupi ni wale wapigania haki sawa kwa mwanamke yuko sawa na mwanaume.

Watu hawa huamini kuwa mwanamke yuko sawa na mwanaume licha ya kwamba tumeumbwa tofauti kibaolojia na kukuzwa tofauti kijamii. Kibaolojia mwanamke
  • Anatofauti na mwanaume kimaumbile
  • Kihisia ( wanawake wako emotion)
  • Kinguvu za mwili ( mwanamke mwili wake hauna misuli mingi ila fat kwa sana)
  • Ubongo (sayansi inakili kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke ambazo zinaweza kuonekana kwene ubongo
  • Kihomoni (kuna tofauti kati ya homoni za mwanaume na mwanamke)
Kijamii
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume. Jamii nyingi zinamkuza mwanamke hivi na kumlea mwanaume kama kiongozi.

Kiimani
Mwanaume ni kiongozi wa familia na mke ni msaidizi, waweza rejea kwene vitabu vyako vya dini.

TATIZO LA FEMINIST
Nchi zote zilizo na movement za hizi idea utaona kuna anguko la jamii, mama si mlezi wa familia, mama ni kichwa cha familia na matokeo yake:
  • Watu hawazai
  • Watu wanakuwa na matatizo ya mahusiano
  • Mashoga wanaongezeka
  • Hamna maadili
Feminist
  • Hapiki
  • Hafui nguo
  • Hanyonyeshi
  • Hazai
  • Halei mtoto
Sayansi inakili kuwa mtoto aliyekosa malezi au ukaribu na mama yake huwa na matatizo mengi ukubwani ikiwa pamoja na uraibu, mahusiano, nk.
 
Sema ni watu wenye ugonjwa wa akili.
Hata ukimuangalia kimuonekano tu, hata salam zake hupokei. Sasa unajiuliza hizo haki anawatetea kina nani!? Labda wenzake wa genge hilo. Mwanamke anayejitambua,hawezi kamwe kupoteza mda wake kwenye hili. Labda wasagaji. Ila,wapo na watoto wa kiume(siyo wanaume),utakuta wamekaa nao kwenye vikao vyao hivyo.
Huu utumbo mbona haupelekwe nchi za kiarabu au zenye uongozi wa kiislamu?
 
Sema ni watu wenye ugonjwa wa akili. Mwanamke anayejitambua,hawezi kamwe kupoteza mda wake kwenye hili. Labda wasagaji. Ila,wapo na watoto wa kiume(siyo wanaume),utakuta wamekaa nao kwenye vikao vyao hivyo.
Huu utumbo mbona haupelekwe nchi za kiarabu au zenye uongozi wa kiislamu?

Waarabu huwa hawabadiliki mkuu,,,
ndio maana hata democrasia huwezi ikuta kwao
 
Mara mia tungekuwa tunaiga ukatili wao,maana una adabu kiasi ukilinganisha na tunaowaiga.
Maana tuliowaiga madhara tayari tunayajua na ndo chanzo cha hao wanaojiona sawa na wanaume. Watakosaje kujiona sawa,wakati wametengenezewa micupi yenye mkuyenge,na wao watakwambia hawababaishwi kwa lolote na hilo siku hizi wanafanya wenyewe kwa wenyewe! Pumbavu kabisa. Jiulize,mtoto wa mtu anaejiita feminist kwenye jamii atakuaje! Malezi gani!
 
Mama zetu hawa ndo wanaotulea nyumbani huku, Mfano Mama angu angekua kawezeshwa angali akiwa mdogo si ajabu Leo ningekua na maisha Mazuri tofauti na Sasa. Tusiwaonee wivu wanapo pata fursa za kujikwamua. Hili kundi ndo linalotengeneza jamii nzima.

Badala ya kushindana nao tushirikiane nao kupunguza shida za Kila upande.. najua utamaind ila huoni kama itapendeza na wao kuwa na uhuru wa kujiamulia maisha Yao ikiwa ni pamoja na 50/50 kwenye Kila kitu Hadi dating, kutuma nauli.. kwenda vitani, kutokulipa mahari.. n.k
 
Usichojua kama mama ako angekua feminist hata ww usingekuwepo!!

feminist wanaamini uhuru wa mwanamke si habar za kuolewa kukaa ndan na kuzaa watoto
 
Feminist wengi hata ndoa hawataki nadhan huelewi vizuri maana ya mwanamke kuwa feminist

unahitaji muda
 
Mwanamke mwenye akili yeyote hawezi kukubali kumpanda mwanaume.

Pia hilo halihalalishi kwa wanaume wenye akili kumkandamiza mwanamke mwenye akili.

Kila mtu anaplay part yake.
 
Well, kwa msiofahamu
Feminism ni idea ya kumuona mwanamke na mwanaume sawa. Yaan kifupi ni wale wapigania haki sawa kwa mwanamke yuko sawa na mwanaume.

Watu hawa huamini kuwa mwanamke yuko sawa na mwanaume licha ya kwamba tumeumbwa tofauti kibaolojia na kukuzwa tofauti kijamii. Kibaolojia mwanamke

  • Anatofauti na mwanaume kimaumbile
  • Kihisia ( wanawake wako emotion)
  • Kinguvu za mwili ( mwanamke mwili wake hauna misuli mingi ila fat kwa sana)
  • Ubongo (sayansi inakili kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke ambazo zinaweza kuonekana kwene ubongo
  • Kihomoni (kuna tofauti kati ya homoni za mwanaume na mwanamke)

Kijamii
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume. Jamii nyingi zinamkuza mwanamke hivi na kumlea mwanaume kama kiongozi.

Kiimani
Mwanaume ni kiongozi wa familia na mke ni msaidizi, waweza rejea kwene vitabu vyako vya dini.

TATIZO LA FEMINIST
Nchi zote zilizo na movement za hizi idea utaona kuna anguko la jamii, mama si mlezi wa familia, mama ni kichwa cha familia na matokeo yake:
  • Watu hawazai
  • Watu wanakuwa na matatizo ya mahusiano
  • Mashoga wanaongezeka
  • Hamna maadili

Feminist
  • Hapiki
  • Hafui nguo
  • Hanyonyeshi
  • Hazai
  • Halei mtoto

Sayansi inakili kuwa mtoto aliyekosa malezi au ukaribu na mama yake huwa na matatizo mengi ukubwani ikiwa pamoja na uraibu, mahusiano, nk.
Daah
 
Usichojua kama mama ako angekua feminist hata ww usingekuwepo!!

feminist wanaamini uhuru wa mwanamke si habar za kuolewa kukaa ndan na kuzaa watoto
Acha kushindana na mwanamke, Kila mtu ana uhuru wa kuamua Aishi vipi.. kwann tuwapangie wao?? Kama hataki kuolewa si kaamua mwenyewe.. we oa, zaa, Lea watoto wako na huyo alieamua kuwa mkeo.

Tunapoteza muda Mwingi kuwapangia wengine maisha tunasahau kuishi ya kwetu.. Ngoja niufanyie kazi huu ushauri wangu.. maana nahisi na mm nataka kukupangia maisha, niwie Radhi mtoa mada!
 
Na siku hizi kuna vibinti vikitoka huko mavyuoni kuota tudegree twa hapa na pale, vinakuja mtaani na kwenye social network kuanza kuleta hizo pigo.

Mi hata ushkaji tu na mwanamke anaeleta pigo za aina hii sitaki kabisa.
 
Feminism ni mikakati ya kupunguza uonevu wa kijinsia kwa wanawake.

Feminism kiujumla sio kitu kibaya, mfumo dume una changamoto zake.

Radical feminism ndo aina ya feminism inayochukulia me na ke kuwa sawa na inapandikiza chuki dhidi ya wanaume
Mkuu,
Watu hawasomi na kuelewa ndio mambo Kama haya!
Mtu anakuambia eti feminism wanakataza mwanamke asizae, mwingine anakuambia mwanamke ampande mwnaume kichwani.
Hata hawaelewi nini wanachoandika.
 
Back
Top Bottom