Hii ni dhambi kubwa au sio tatizo??????????

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
Mwanaume unapokuwa na mpenzi wako out hivi
au popote pale.halafu vinapita" vifaa vya kufa mtu" i mean
wanawake wengine wenye urembo na mvuto...
halafu wewe mwanaume ukawa unatazama tazama..unathaminisha hivi...

swali ni hivi kwa nini wanawake wengi wanakasirishwa na hilo?

but hata hivyo wapo wanawake wachache sana,tena wachache sana ambao kwao

hilo sio tatizo kabisa,infact nimewahi kuwa na girlfriend ambae tukiwa pamoja
mfano bar na akaingia msichana mzuri kwa nyuma,alikuwa ananishtua na kuniambia" geuka
uone kifaa"
but wasichana wa aina hii ni very very few.....

swali ni hili kwa nini wanawake wengi wanakereka wakiona mwanaume wake
anatazama vifaa vingine,wakati macho hayana pazia,na kutazama sio kula???????????
 
Mi mwenyewe akipita mwanaume mashalaah kanivutia huwa kugeuka mpaka nishtuliwe!..kusifia/kuangalia uumbaji haina neno ila kama mwenza wako ana wivu kupitiliza hapo kazi!
 
Hapo wala hujakosea BJ kuangalia uumbaji sio kosa kabisa lakini kwa wenzetu nyinyi akina mama sijui ni wivu au kutojiamini.Mimi siku moja nilimpeleka wife kwenye soko la samaki,kufika yeye akaingia ndani mi nikabaki nje namsubiri basi akapita mrembo wa haja aliyeumbwa akaumbika,nami mtoto wa kiume bila hiyana nikawa namsindikiza kwa macho nilikuja kushtuka mtu ananibip na kofi mgongoni ,kugeuka namkuta wife kachachamaa unaangalia nini kwani mimi sikutoshi?Lakini ningekuwa mimi wala tusingefika huko.Kwa hiyo basi mi naona kutazama ni kama kuufurahia utukufu wa mungu katika uumbaji.
 
Macho hayana pazia na kusifia hakuna ubaya wowote kama uliye naye hana wivu wa kufa mtu. Vinginevyo atanuna wiki nzima kama ni mwanamama unaweza kabisa kunyimwa shughuli na mwanababa anaweza kutembeza mkong'oto.
 
Mwanaume unapokuwa na mpenzi wako out hivi
au popote pale.halafu vinapita" vifaa vya kufa mtu" i mean
wanawake wengine wenye urembo na mvuto...
halafu wewe mwanaume ukawa unatazama tazama..unathaminisha hivi...

swali ni hivi kwa nini wanawake wengi wanakasirishwa na hilo?

but hata hivyo wapo wanawake wachache sana,tena wachache sana ambao kwao

hilo sio tatizo kabisa,infact nimewahi kuwa na girlfriend ambae tukiwa pamoja
mfano bar na akaingia msichana mzuri kwa nyuma,alikuwa ananishtua na kuniambia" geuka
uone kifaa"
but wasichana wa aina hii ni very very few.....

swali ni hili kwa nini wanawake wengi wanakereka wakiona mwanaume wake
anatazama vifaa vingine,wakati macho hayana pazia,na kutazama sio kula???????????

Jamani wake/wanawake wetu ndivyo walivyoumbwa, wivu kibao, ubinafsi na kupenda kusifiwa wao!ukimwambia kuwa yeye ni mrembo kuliko hata miss world atakenua meno huyo na kukuona wewe ndo mwanaume haswa!Ni kama dhana nzima ya kutongoza tu, ukimsifia sana mwanamke na kumpamba basi mwisho wa siku anaweza kukupa penzi!
 
mie uwa namwambie darling wangu (wife) kuwa nasifu uumbaji wa MUNGU (nimejaribu kuiweka kidini) na nikisema hivyo uwa anacheka sana sasa sijui kama ndani kwa ndani anaumia
 
Inaumiza bana kwani si unajiuna kwamba jamaa akiachiwa dk 1 tu ya uhuru tayari kesha lamba namba ya simu na kitakachoendelea baadae ni finishing tu :moony:
 
Akishamaliza hiyo finishing anarudi kwangu, na sometimes asirudi tena kwake kwani mungu nae huwa anaona mara nyingi hao walioumbwa zaidi ya wengine honey pot zao mbovu
 
kwa kujipa moyo uko juu, wengine wapo full house wametimia kotekote
 
hata wanaume ukiwa nae somewhere then wakapita wanaume wenzie ukikodoa macho lazima akuulize unamwangalia nani,tena anakwambia kwanini unaangalia huko wakati tupo pamoja hapa,so usiweke kisingizio kwamaba wanawake tu ndo wana tabia hiyo
 
hahaa jamani mie wife huwa ananishtua cheki kule totoz sasa ole wangu nisifie, atanuna njia nzima. mie akinionesha nadai ah siwezi cheza lower league wakati nipo premier league atafurahi kumbe mwenzie nikipata upenyo nakodolea kodoooo
 
mi naona si vizuri kukodolea macho wanawake/wanaume wengine wkt uko na mpenzi wako.ukiwa mwenyewe sawa lkn lazima nijisikie wivu kuona mpenzi wangu katoa mimacho kwa mwanamke mwingine hadi anasahau kuwa niko hapo pembeni.
 
Akishamaliza hiyo finishing anarudi kwangu, na sometimes asirudi tena kwake kwani mungu nae huwa anaona mara nyingi hao walioumbwa zaidi ya wengine honey pot zao mbovu

Anarudi kwako kwakuwa ndo tayari tena mpo pamoja, lakini kiukweli kunaraha anaipata huko nje isiyosimulika!
 
Mie nilikuwa nanuna zamani nikiona mwenzangu anakodoa mijicho lakini akawa ananimbia wife ni kazi ya mungu haina makosa ngoja niangalie tu ni macho mbona wewe huwa wanakukodolea..basi nikazoea mwenzio wakipita namwacha aangalie mpaka achoke.
Siku moja nimeenda Ngwasuma wakapita warembo akawatizama tukaanza mjadala nikimsaidia kuwasifia maana walikuwa wamefungasha ma container Si muda mara kapita Handsome mmoja kweli na mie nikajifanya kugeuka kumtiza na nikamsifia kidogo daah kumbe mambo yakawa sivyo ndivyo.
eeeh kibao kikageuka ... niliondolewa eneo la starehe bila kupenda
..Mkuki kwa nguluwe?:becky:
 
hahaa unaona sasa mambo hayo.lol
 
hahaa unaona sasa mambo hayo.lol

Nadhani inategemea na mtu.

Mimi na ma wife wangu huwa tunastuana kikitokea kitu ambacho ni moto sana. Tunaoneshana na kucheka. Ila wakati mwingine huwa yeye anazidisha kusifia (midume) hadi najisikia kauchungu kwa ndani. Hata hivyo tumeshazoea.
 
natamani kuwa kama mkeo coz mie nasikia vibaya akitizama wengine.
 
Usinikumbushe siku wife aliponisusia gari na kuondoka na taxi kisa mzee nilikuwa nachabo kifaa pembeni. Kwa kweli hii ni noma sana kwa wanawake wengi. Ukiwa out jaribu kupotezea ka huvioni maana gharama yake ni kubwa sana
 
natamani kuwa kama mkeo coz mie nasikia vibaya akitizama wengine.

Pole sana.

Ni suala la kujaribu kuikubalisha akili yako kuwa ni vitu vinavyovutia macho tu. Kwani lazima mtu atavutiwa. Labda kama una wasi wasi kuwa anaweza kupitiliza. Kwangu anaamini nakula kwa macho tu. It helps alot. Hata hivyo watu tunatofautiana katika kila kitu.
 
Back
Top Bottom