Kifo ni daraja la juu la wamchao Bwana je nikupe mistari?
Nzuri kabisa ni hii ya kulaghai na kutapeli wananchi?Hii siyo nzuri kabisa!
Anayeombea watu kifo na anayetuma watu kuua wenzake nafuu nani?Lema ni Mchaga mwenzangu ila kuna mambo huwa simkubali huyu mtu..
Mambo ya kumtabiria mwenzako kifo sijapenda.
Ila na wewe mtoa mada, jifunze kutofautisha msimamo wa Lema na msimamo wa chama chake. Hapo na wewe umekosea.. usiipake Chadema matope kwa maneno ya mtu mmoja.
Kwani unafikiri kalopoka tu? We ukumbuki alimuambia Magu? Hukumbuki badala ya ule Moshi kule Ruangwa wakina Zitto wakainuka post zao twiter kumtakia Mama kila Rakheri kwenye uongozi wake wakipambana kuwa sasa ni zamu yako?
Uombewe kifo, usiombewe kifo, wewe ni mfu dakika ijayo (not you personally, yeyote yule)Mistari ya kuombea watu kifo?
Lema atakuwa mchawi!Nzuri kabisa ni hii ya kulaghai na kutapeli wananchi?
Kwenye kampeni👇😁😁😁View attachment 2072389Baadaa ya kuingia Ikulu👇🐒🐒🐒View attachment 2072391
Amemuombea afe salama.Asife kwa kuchambwa na kusimangwa.Mistari ya kuombea watu kifo?
Kumbe Mashekhe, wachungaji na mapadre wanapokuwa wanatuhimiza kutengeneza mambo yetu na Mungu (kutubu na kaucha dhambi), huwa wanatuombea kifo?