Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
watanzania kwa kubebana hamjambo kabisaaaa
Marine ni mtangazaji na tbc inaangaliwa na watu
wengi na tofauti siwaeli wanaosema si kosa kutojua kiingereza.
nasema ni aibu sana kwake na uongozi mzima wa tbc.
ndo maana television nyingine huwa wana wapa wenye uwezo kwenye kipindi kama hicho.
tumtofautisheje na yule aliyeulizwa kwa nini nchi yake masikini? na kujibu hajui
au ni sawa na kuwa msemaji wa tanesco unaulizwa kwa nini hatuna umeme na unajibu hujui!!.......damn!!!