Hii ngumu kumeza

Hii ngumu kumeza

Status
Not open for further replies.
Mkuu kaa nae mueleze maujinga yake then msikiliza atasema nini then uendelee na maisha...

Kuna mengi ya kufanya kwenye maisha zaidi ya kulia kwenye mapenzi na isitoshe una watoto tayari..

Akikaza kichwa,,,Fyekelea mbaliiii

Hizi italics ndo point

Atafte pesa ya maisha yake na wanae huyo gwiji wa mahaba mjini amkabidhi kwao ili apate uhuru wa kutosha kufanya hicho alichokichagua.
 
Mnamtakia kifo, maamzi ya hawa watu ni ya kichawi sana!
Ni kweli mkuu ukifikiria,hii kesi imekaa vibaya. Angekuwa mpenzi ni rahisi kushauri..lakini mke na watoto kuna changamoto, inabidi yeye mwenyewe aamue akiwa ametulia.
 
Yaani wanandoa ni shughuli sana.

Unadate na mtu anaefanya kazi na mumeo ofisi moja ili muoe aonekane bwege kwa jamaa.

Halafu kwa nini atoke nje, binafsi kesi hii ni nyepesi kwa ushahidi huo. Ndoa inaishia hapo akaolewe na huyo aliemchagua.

Halafu hadi unakubali kuolewa maana ake nini? Me naona mtu kama bado unakua na hamu ya michezo usiolewe kwanza.

Cha ajabu mke wa mtu analalamika ametengwa, it means jamaa huwa anajipigia mara kwa mara sasa imepita muda kidogo hajachapwa anaomba!😂😂.

My brother mleta uzi kama unataka kufurahisha jamii na ndugu kuwa bado umeoa endelea nae lakini kama unataka kuishi kwa amani hapo baadae mwambie ahamie kwa chaguo lake la pili.
 
Ni wazo jema,ila kwa upande mwingine najaribu kuangalia kwa upande wa watoto
 
kama mna miaka Zaidi ya kumi ktk ndoa ,na jamaa kamchukua mke kwa mwezi tuu ,usijali endelea tuu na mkeo miaka 10 sio sawa na miezi ,ila mwambie mkeo aende kwa jamaa mara ya mwisho then AKOME abaki na wewe
 
Cha ajabu mke wa mtu analalamika ametengwa, its jamaa huwa anajipigia mara kwa mara sasa imepita muda kidogo hajachapwa anaomba!.

My brother mleta uzi kama unataka kufurahisha jamii na ndugu kuwa bado umeoa endelea nae lakini kama unataka kuishi kwa amani hapo baadae mwambie ahamie kwa chaguo lake la pili.
Noted.

Sitaweza bro....hili jeraha litanitesa......unayo mawazo kama yangu.

Ushahidi huu unajitosheleza kabisa...sidhani kama ataruka.

Mbaya zaidi jamaa analotokanalo limeoa pia...

Sijajua na mkewake Tabia zake...

Sasa angalia hiyo cheni...........si tutkuja kuuwana kwa malazi kweli
 
Ni wazo jema,ila kwa upande mwingine najaribu kuangalia kwa upande wa watoto

Angalia pia upande wa uhai wa jamaa, ukitumia jicho la fundi saa utagundua uhai jamaa uko mashakani.

Mwanamke kufikia kukufanyia hivyo kishaamua liwalo na liwe yuko tuyari kwa chochote hata kukuua ili aendelee na uhuru wake.

Sasa jamaa achague, akae na wanae au akae na mkewe kwa mashaka na muda huo yule jamaa ofisini watakaaje pia maana lazima atakuwa anamuona huyu mwenye mke kama kiazi.

Ikumbukwe kuna ndugu zetu hawana mama maisha wengine kwa sababu ya mapenzi ya Mungu ila wengine kwa sababu ya mapenzi ya mama zao kama hivi!
 
Noted.

Sitaweza bro....hili jeraha litanitesa......unayo mawazo kama yangu.

Ushahidi huu unajitosheleza kabisa...sidhani kama ataruka.

Mbaya zaidi jamaa analotokanalo limeoa pia...

Sijajua na mkewake Tabia zake...

Sasa angalia hiyo cheni...........si tutkuja kuuwana kwa malazi kweli
Licha ya magonjwa, hata kukuwekea sumu ufe kama akiona wewe ni kikwazo kwenye upuuzi wake na lazima utakua kikwazo maana hutapenda kuona unagongewa.
 
Noted.

Sitaweza bro....hili jeraha litanitesa......unayo mawazo kama yangu.

Ushahidi huu unajitosheleza kabisa...sidhani kama ataruka.

Mbaya zaidi jamaa analotokanalo limeoa pia...

Sijajua na mkewake Tabia zake...

Sasa angalia hiyo cheni...........si tutkuja kuuwana kwa malazi kweli
Cheki afya zenu kama ziko poa,toa onyo kali kwa mkeo na huyo mdhalimu.Ili maisha yaendelee...kwa kujifunza angalia kipindi cha 'cheaters tv-youtube' mtu anamkuta mkewe analiwa live na anaamua kusamehe,kutokana na muda walioishi inakuwa si rahisi kuachana.
 
kama mna miaka Zaidi ya kumi ktk ndoa ,na jamaa kamchukua mke kwa mwezi tuu ,usijali endelea tuu na mkeo miaka 10 sio sawa na miezi ,ila mwambie mkeo aende kwa jamaa mara ya mwisho then AKOME abaki na wewe

😳😳mkuu!!?

Arudi apigwe cha moto tena au sijakuelewa?
 
Angalia pia upande wa uhai wa jamaa, ukitumia jicho la fundi saa utagundua uhai jamaa uko mashakani.

Mwanamke kufikia kukufanyia hivyo kishaamua liwalo na liwe yuko tuyari kwa chochote hata kukuua ili aendelee na uhuru wake.

Sasa jamaa achague, akae na wanae au akae na mkewe kwa mashaka na muda huo yule jamaa ofisini watakaaje pia maana lazima atakuwa anamuona huyu mwenye mke kama kiazi.

Ikumbukwe kuna ndugu zetu hawana mama maisha wengine kwa sababu ya mapenzi ya Mungu ila wengine kwa sababu ya mapenzi ya mama zao kama hivi!
Aombe uhamisho tu
 
Kwa kifupi picha siipati .

Hata nikiomba uhamisho ---Ok hivi sasa ntatizamanaje na wife......... Mtu ambae tulizoea kufurahi pamoja , tuna enjoy maisha., kumbe tunachekeana kinafiki........ behind ananisaliti
 
Mkuu mrudishe mkeo nyumbani kwao akae mwezi mzima,huku wewe ukifikiria la kufanya;wakati huo ukijipanga kuhusu mazingira ya watoto kama maamuzi yako yatakuwa ni ya kuachana.
 
Nawashukuru wakuu kwa kampani....nyie laleni mnaolala...usiku sana sasa.
Binafsi sina usingizi kabisa mpaka nitakapoitapika hii nyongo.

Ngoja niendelee kufanya majumuisho ya ushauri mnaonipa....ili niondoke na moja.

Mambo mengine hata kumwambia Mtu moja kwa moja ni aibu yani......hapa ni kufanya maamuzi tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom