mbwa sia akae nyuma!
Dah! inasikitisha sana, lakini nikirudi kuisoma Biblia nakuta kuwa hiyo hadhi Mzungu kapewa na Bwana Yesu (kama ni kweli hayo yalioandikwa humo ni maneno ya Yesu na Biblia haijachakachuliwa), soma kisa cha huyu mama Mkanaani (Wakanaani kwa mujibu wa wasomi wa Biblia ni Waafrika weusi):
Matayo 15:22-26
Neno: Bibilia Takatifu (SNT) [SUP]22 [/SUP]Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu hizo akaja kwake, akamlilia, akasema, Nihurumie, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa na pepo na anasumbuka sana. [SUP]23 [/SUP]Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi wanafunzi wake wakamwendea wakamwomba, Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele. [SUP]24 [/SUP]Akajibu, Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea. [SUP]25 [/SUP]Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu akasema, Bwana, nisaidie! [SUP]26 [/SUP]Yesu akajibu, Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Kwa mafundisho hayo, kwanini tumlaumu huyo Mzungu na hali kitabu hicho ndio cha ibada na kinafundishwa na kuhubiriwa makanisani? Kwa kusoma hicho kitabu hajaiona tofauti kwani Wakanaani wameitwa na "Mungu" kuwa ni mbwa.
we mjane malizia mpaka mstari wa 28 ndipo utajua yule mama imani ilimuokoa.Dah! inasikitisha sana, lakini nikirudi kuisoma Biblia nakuta kuwa hiyo hadhi Mzungu kapewa na Bwana Yesu (kama ni kweli hayo yalioandikwa humo ni maneno ya Yesu na Biblia haijachakachuliwa), soma kisa cha huyu mama Mkanaani (Wakanaani kwa mujibu wa wasomi wa Biblia ni Waafrika weusi):
Matayo 15:22-26
Neno: Bibilia Takatifu (SNT) [SUP]22 [/SUP]Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu hizo akaja kwake, akamlilia, akasema, Nihurumie, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa na pepo na anasumbuka sana. [SUP]23 [/SUP]Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi wanafunzi wake wakamwendea wakamwomba, Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele. [SUP]24 [/SUP]Akajibu, Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea. [SUP]25 [/SUP]Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu akasema, Bwana, nisaidie! [SUP]26 [/SUP]Yesu akajibu, Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Kwa mafundisho hayo, kwanini tumlaumu huyo Mzungu na hali kitabu hicho ndio cha ibada na kinafundishwa na kuhubiriwa makanisani? Kwa kusoma hicho kitabu hajaiona tofauti kwani Wakanaani wameitwa na "Mungu" kuwa ni mbwa.
Dah! inasikitisha sana, lakini nikirudi kuisoma Biblia nakuta kuwa hiyo hadhi Mzungu kapewa na Bwana Yesu (kama ni kweli hayo yalioandikwa humo ni maneno ya Yesu na Biblia haijachakachuliwa), soma kisa cha huyu mama Mkanaani (Wakanaani kwa mujibu wa wasomi wa Biblia ni Waafrika weusi):
Matayo 15:22-26
Neno: Bibilia Takatifu (SNT) [SUP]22 [/SUP]Mwanamke mmoja Mkanaani aliyeishi sehemu hizo akaja kwake, akamlilia, akasema, Nihurumie, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa na pepo na anasumbuka sana. [SUP]23 [/SUP]Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi wanafunzi wake wakamwendea wakamwomba, Mwambie aende zake, kwa maana anaendelea kutupigia kelele. [SUP]24 [/SUP]Akajibu, Nimetumwa tu kwa ajili ya kondoo wa Israeli waliopotea. [SUP]25 [/SUP]Lakini yule mwanamke akaja, akapiga magoti mbele ya Yesu akasema, Bwana, nisaidie! [SUP]26 [/SUP]Yesu akajibu, Si haki kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Kwa mafundisho hayo, kwanini tumlaumu huyo Mzungu na hali kitabu hicho ndio cha ibada na kinafundishwa na kuhubiriwa makanisani? Kwa kusoma hicho kitabu hajaiona tofauti kwani Wakanaani wameitwa na "Mungu" kuwa ni mbwa.
hapa faiza foxy umeonyesha tu chuki zako juu ya ukristu na kwa sababu,tu wewe ni mwislam hayo maneno ya kwenye biblia hiyo sio tafsiri yake umekurupuka Yesu alikuja kwq binadamu wote
we mjane malizia mpaka mstari wa 28 ndipo utajua yule mama imani ilimuokoa.
na kwa ujinga wako na chuki zako unawaita wapalestina ni waafrika ili uonewe huruma na waafrika na kupata support bure.
soma bible vizuri jinsi mungu alivyowaahidi nchi ya kaanan,kwa hiyo waisrael wanaishi uganda sasa hivi?
bahati mbaya hata hapa nimempa mbwa chakula cha wanangu.