FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
.
Yesu Ni Mungu, atakutokea mwenyewe Kwa namna Yake ili uthibitishe mwenyewe Na Uokoke.. Only afterTen Day ..
Dah! huko sasa kutaka kuonesha miujiza, kumbuka biblia inasemaje: Hata shetni anaweza kuja akakwambia mie Yesu, kwa uoga wako na ujinga wako tu ukaamini.
Mimi siamini kama Mungu anaweza kumita binaadam aliyemuumba mbwa na mbwa nao kawaumba yeye mwenyewe. Inabidi ufikiri sana kwa hayo kijana, usifate tu kila unaloambiwa, mwishowe ndio hivyo, wanamuona mbwa bora kuliko wewe.
Ikiwa unaitwa kondoo na una binaadam wanaokuchunga wanaitwa wachungaji na unachekelea, leo kuitwa mbwa kwenye hicho kitabu una shangaa nini? Ujuwe mbwa hutumika kumchunga kondoo na ndio hao hao wansema eti ndi rafiki mpenzi wa mwanaadam sasa fikiri wewe kondoo uko hadhi ipi, na unachekelea. Sasa hapo kondoo kawekwa nyuma ya gari mbwa kawekwa mbele ya gari, au sio? labda hapo utafurahi?