othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,524
- 11,860
Piga ngunga
Hongeraaa kwa upendo wa kweli kwa mkeo.wanaume kama nyie mmebaki wachache sana
Chukua ushauri kwa umakini, sio kila ushauri ni ushauri wa kujenga, wengine wana coment for funny, sasa wewe beba kama lilivyo ukaoe mke wa pili uone utakachokipata,Huyu Si Itabidi Nimuondoe mkuu maana Itakua Shida Tu Kurudi Nyumbani
Hutakiwi kumchunguza mkeo, hakuna maisha mazuri na ya amani kama ya kuishi bila kumchunguza mchumba/mkeo, jiamini aisehh ukifanya hivyo utaishii kimawazo sanaKwahiyo nifanyeje Nijue Mkuu Mzoefu Wa Haya Mambo![]()
Huwa hunaga mambo mengi nakupenda kamanda, ila pande zile kamanda umepotea sanaPole Sana.
Upendo mzee acha kabisa
Yes jamaa ana upendo wa kweli!Penye upendo wa kweli kuna COMMITMENT haijalishi hali/changamoto ikoje,nimempa hongera coz ktk changamoto anayoipitia bado anayo matumaini huenda akapata matokeo mazuri na ndoa yake ikawa sawa,angeweza kuamua fasta tu kumwacha mkewe na kuoa tena.Baadhi ya wanandoa waliamua kuachana kwa sababu walifikiri ktk changamoto zao hakuna tena ufumbuzi kitu ambacho sio kweli.Pia hakuna mahusiano yasiyokuwa na changamoto issue ni mtazamo.Jamaa amechagua mtazamo chanya kabla hajagive up that why nimempa hongera!Mhhh! Upendo wa kunyimwa papuchi na kuitwa king’ang’anizi kisha kuambiwa jiheshimu kuna mgeni atasikia kelele?
Hapana aisee huyu atachepuka na ndoa kulega lega au ndoa haina maisha marefu kama mkewe hatabadilika.
Yani arudi nyumbani amsaidie kazi za ndani ili apatiwe unyumba huu nao ni ushauri? Sasa mwanamke kaolewa kuja kutazamwa ama kuna vitu vinakera,Uwe unawahi kurudi hom msaidie vikazi vichache afu ufanye utakayo,,,.
Afu kwani huwezi kukaa bila kutomasatomasa?
Nisha mpa taadhariChukua ushauri kwa umakini, sio kila ushauri ni ushauri wa kujenga, wengine wana coment for funny, sasa wewe beba kama lilivyo ukaoe mke wa pili uone utakachokipata,
Umeshauri vizuriiiIssue yako ni rahisi sana na mara nyingi wala hana kosa lolote, Kwa mwanamke ndoa na I Karibu ni namna mnavyoishi, ni jumla ya matendo yako!
KWa Mama wa Nyumbani asiye ka kazi na fedha zake, ukiwa hamtuzi vizuri na kumpa hela za ziada kwa ajili ya kwao Labda Mama yake Kitenge? Akawa analalamika, hawezi Kuwa na amani!
Cha kufanya:
1. Some vitabu sana vya mahusiano, hasa vya kizungu, Achana na Huu ujinga wa Mauki.
2. Jaribu sana kujadili na mke wako kutaka kujua tu ana Mawazo gani, kama ajielezi sana jaribu hata kumwambia au nyumbani kuna shida etc!
3. Mtu mie message za kumjulia hali mchana kutwa na kumpa pole na majukumu ya home!
3. Watoto wanasumbua, msaidie, ukirudi home wewe hangaika na Mtoto zaidi yake!
Ukifanya haya kwa uaminifu lazima utaona tofauti!
N:B: Huo ujinga wa kutomasana kila wakati na wewe uache, Tupo uchumi wa kati sasa!
Kulea Mtoto ni kazi sana nawaambia! Mimi najua Ingawa ni mwanaume! Mama wa Nyumbani na kazi za siku na kama hana Dada Sio issue ndogo!
Pole sana



, umekuja kuharibu chini hapo kwenye NB dah sasa asimtomase mke wake akamtomase nani, unajua msichukulie poa, mwanaume mwaminifu anapitia magumu sana akikutana na aina hizi za changamoto, mashine huwa inaamka tu muda wowote maana hamwagi kwingine muda wote tank lipo fullAngusha ushauri, wakina mama ni nyieMmh pole yenu
Utaweza kumkanya kweli mbona kama mwana mama kakuzidi ubabeNtaongea Nae Tena Na Kumkanya Tabia Yake
Nakubali, umelitazama swala kiroho pia linaweza kuwa ni shidaThen kuna spiritual husband kwa mkeo. Hii imekuwa chanzo kikubwa cha kuvunjika kwa mahusiano mengi. Ama labda wewe pia unaweza kuwa na spiritual wife. Umewahi kuota ndoto ukiwa na mpenzi?
Mzee huyu mwanamke kwenye masuala mengine ya nyumbani hana shida yupo biz na familia mwanamke mwingine ntakua chizi mimi mambo mengine ya kiuchumi ntashindwa kufanyaChukua ushauri kwa umakini, sio kila ushauri ni ushauri wa kujenga, wengine wana coment for funny, sasa wewe beba kama lilivyo ukaoe mke wa pili uone utakachokipata,
Hii dawa itakua huwa inatoa majibu haraka ehh, kama mke mdogo sio, ila hapana akomae nae tu si alisema ataishi nae kwa shida na rahaMuolee mke mdogo
Wanawake lakini hawa jamani usipomuomba uchi anasema unamchitiAisee kuna wadau walishauri nimpetipeti sasa mkuu husinione bwege kuna wakati Unahitaji Kujishusha kwa hawa watoto




Asante ndugu Najipa muda sasa kujitafakari na kuplay part Yangu kama kiongozi wa familia, nimegundua vitu vingi kwa koment za wadau hapa wengine Sijaweza kureply ila ushauri wenu ni mzuri na ntaufanyia kaziUsisubutu kaka sio kila ushauri ni wakufanyia kazi kwa kufanya hvo unaweza jua unajenga kumbe unaboa sasa adhabu inakuja pele utamwaga dagaa kwa nyama ya kupakuliwa....tumia hakiri wewe ni mwanaume hakuna mwanamke apendi kusex na mumewe ukiona hvo kuna kitu usha mkosea ila anashindwa kukuambia ndo kinacho mtafuna na kujikuta ata hamu na wewe hauna kaka tatizo utatuliwa kwa kutafuta suluisho sio kwa kuongeza tatizo kuna mawili kuoa mke mwingine alafu yeye akaondoka kbsa sasa hapo ndo wanasemaga unatupa dhahabu unaokota jiwe fikiria ni wap umemkosea maan sisi wanawake tunaweza kukosewa na tusiseme kwa kuhofia tukisema pengine uwe ugomvi so unaamua kukaa kimya lkn uku kinakutafuna rohoni hapo ndo uwa ata hisia zinaisha kbsa ongea na mkeo jishushe kaka siku moja tu uwezi poteza heshima yako ila unakuwa unatetea ndoa yako jmn mungu akuwaunganisha ili muachane ila mpendane sawa eeh