James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,555
Soldier down...soldier down....all units be advised we have a shooter...
Yes jamaa ana upendo wa kweli!Penye upendo wa kweli kuna COMMITMENT haijalishi hali/changamoto ikoje,nimempa hongera coz ktk changamoto anayoipitia bado anayo matumaini huenda akapata matokeo mazuri na ndoa yake ikawa sawa,angeweza kuamua fasta tu kumwacha mkewe na kuoa tena.Baadhi ya wanandoa waliamua kuachana kwa sababu walifikiri ktk changamoto zao hakuna tena ufumbuzi kitu ambacho sio kweli.Pia hakuna mahusiano yasiyokuwa na changamoto issue ni mtazamo.Jamaa amechagua mtazamo chanya kabla hajagive up that why nimempa hongera!
Baki njia kuuMzee huyu mwanamke kwenye masuala mengine ya nyumbani hana shida yupo biz na familia mwanamke mwingine ntakua chizi mimi mambo mengine ya kiuchumi ntashindwa kufanya
Ahsante kamanda.. Nakupenda pia kamanda wangu.Huwa hunaga mambo mengi nakupenda kamanda, ila pande zile kamanda umepotea sana
Nakupenda zaidi kamanda, usiache japo hata kusalimia kamanda nakumiss sana pande zile, natumai upo good lakiniAhsante kamanda.. Nakupenda pia kamanda wangu.
Pande zile nimekua adimu mambo yamekuwa mengi .
Nipo poa kamanda..leo nitatimba kipande icho..nimekumiss na kuwamiss SanaNakupenda zaidi kamanda, usiache japo hata kusalimia kamanda nakumiss sana pande zile, natumai upo good lakini
Sasa kwanini asimtomase kwani kuna vizingiti?? Yeye si mke wake, hizo raha za kimahaba anaziapataje pasipo anzia kutomasa, pasipo tomaso raha anaipataje, yani pasipo tomaso anaziinuaje hisia za mke wake, hivi kwani mnajuaga mapenzi ni vita? , jamaa mleta mada anajua sana mapenzi mwanamke unatakiwa umtomase popote mnapokuwa karibu hata kumshikashika ni faraja sana na unatengeza uhuru kwake, sasa nyie mmezoea mapenzi ya kigumugumuMwenzio anataka Masaa yote amtomasetomase hata kama anakaanga maandazi jikoni






Namuandaa ila hapo kwenye kumfikisha Nitaongea Nae Labda Simfikishi Dah Kufikishana Tena haya mambo Yanachanganya![]()
Wengi ndoa wanaitazama kimwili zaidi wakati ni tendo la kiroho. Anyway mchango wangu ni huo mkuu. Hakuna ndoa inayokwenda smooth kwa kujaribu kuuridhisha mwili, why? Dunia haijapata bado mwili ulioridhika, HAKUNA.Nakubali, umelitazama swala kiroho pia linaweza kuwa ni shida
Niliwahi fanya hivyo mwanzo aliponiita kinga'ang'anizi baada ya siku mbili alirudi akiomba msamaha na kilio juuIgnore fanya Mambo yako
Kama Kuna vitu ulikuwa anakufanyia fanya mwenyewe mfano
Usile chakula chake
Fua nguo zako mwenyewe
Ukitoka usiage unaenda wapi .
Ukilala nae kitandani uwe bize na simu na jifunike shuka lako
Nyoosha zako mwenyewe
Ondoka asubuhi Rudi jioni na moja kwa moja chumbani kulala
Akiwa na shida ya hela usiulize weka kwenye meza sepa
Hawa viumbe bila kucheza na saikolojia Yao watakuendesha sana
Unapaswa kujua kuwa Ni viumbe dhaifu so lazima ucheze naa saikolojia
Trust me one day atarudi kwenye mstari kwa spidi ya ajabu na wivu juu![]()
Yes pia usha gundua mkeo ni mtu ambaye hashitushi na jambo hyo ndo mke sasa nakwambia cha msingi tafuta namna ya kuishi nae yule ni mtu mzima kingine kama unakuwa unachukia tafuta namna ya kumwambia sio unamwambia kam unamfokea au unamtukana hvo ndo atazidi kukuona wa kzi gan mfano kama hvo ambavo hakupi unyumba ebu kesho rudi na gauni jipya then mwambie mke wangu jiandae twende sehem hakikisha unampeleka sehem ambayo alikuwa anaipend kipindi hajaonana kisha omba msamaha usimuulize eti kwa nn unipi unyumba we omba msamaha tu hvo hvo ukifanya hvo itamfanya ajue kuwa usha gundua kosa lako ata kama ulijui polea pote we ni mwanaume then update penzi lako nakuakikishia kaka furah itarudi auta hamini ata ukichelewa home atakutafuta coz atakuwa na aman na furaha na wewe pia uwe unapenda kumpa vijizawadi hvo umfanya mwanamke kila akiiona zawdi hyo basi ufeel mapenzi juu yakoAsante ndugu Najipa muda sasa kujitafakari na kuplay part Yangu kama kiongozi wa familia, nimegundua vitu vingi kwa koment za wadau hapa wengine Sijaweza kureply ila ushauri wenu ni mzuri na ntaufanyia kazi
naamini ntakua na amani kwani hakutakuwa na ligi tena ndani ya nyumba
Hii ni kweli kabisa..inafika mahali unaona kama huyu mtu msumbufu..kwa "statement" yake hyo inaonyesha kabisa jamaa ana "umimi"..ni mtu ambaye anajali zaidi upande wake bila kujua mwenzake vipi..ina maana hana uhakika kama mwenzake huwa anaridhika au lah.!nipo page 1 bado ila mpk naandika hapa nilichokiona kwa haraka haraka shida si mkeo,shida ni wewe kwann nasema ni wewe? kuna member hapo juu kakuuliza unamuandaa mkeo na kumridhisha? ukamjibu hili jibu hapa chini ambalo ndio limenifanya nione shida unayo wewe
hapo kwenye nyekundu umepaona? yani hapo panaonyesha jinsi ambavyo wewe ktk mapenzi unaangalia tu hamu zako wala sio za mwenzako,yani unaonyesha mkianza mambo wewe n yule mzee wa dk 5 nyingi ushamaliza,halafu baada ya hapo unageuka upande wa pili unauchapa.
hujali/hujihusishi/huna time na mkeo kama karidhika au lah,hiii imemfanya mkeo kuchukia hicho kitendo na zaidi unaonyesha umepata mwanamke mpole/mkimya asiejua kuongea kbs kuhusu haki yake ya tendo la ndoa,kinachotokea n kwamba unamuacha mkeo na nyege zake,kumuandaa sawa unamuandaa ila humridhishi.
Nyege zinapozidi ki ukweli mtu unakua na hasira,mfano hata mimi asee nikiwaga na minyege yangu halafu mpnzi wangu yupo na najua hana shida yyte ila tu hataki kunipa haki yangu,naskiaga hasira kama zote.
kinachomfanya mkeo akutoe mkono unapomshika n kwasababu yuko sensitive sana ukimshika unampandisha mizuka halafu kuishusha huwezi hapo ndo unapomchefua kunakoendea atakutaftia mwenzako.BADILIKA.
Dah! Nachukua na hili mkuu shukraninipo page 1 bado ila mpk naandika hapa nilichokiona kwa haraka haraka shida si mkeo,shida ni wewe kwann nasema ni wewe? kuna member hapo juu kakuuliza unamuandaa mkeo na kumridhisha? ukamjibu hili jibu hapa chini ambalo ndio limenifanya nione shida unayo wewe
hapo kwenye nyekundu umepaona? yani hapo panaonyesha jinsi ambavyo wewe ktk mapenzi unaangalia tu hamu zako wala sio za mwenzako,yani unaonyesha mkianza mambo wewe n yule mzee wa dk 5 nyingi ushamaliza,halafu baada ya hapo unageuka upande wa pili unauchapa.
hujali/hujihusishi/huna time na mkeo kama karidhika au lah,hiii imemfanya mkeo kuchukia hicho kitendo na zaidi unaonyesha umepata mwanamke mpole/mkimya asiejua kuongea kbs kuhusu haki yake ya tendo la ndoa,kinachotokea n kwamba unamuacha mkeo na nyege zake,kumuandaa sawa unamuandaa ila humridhishi.
Nyege zinapozidi ki ukweli mtu unakua na hasira,mfano hata mimi asee nikiwaga na minyege yangu halafu mpnzi wangu yupo na najua hana shida yyte ila tu hataki kunipa haki yangu,naskiaga hasira kama zote.
kinachomfanya mkeo akutoe mkono unapomshika n kwasababu yuko sensitive sana ukimshika unampandisha mizuka halafu kuishusha huwezi hapo ndo unapomchefua kunakoendea atakutaftia mwenzako.BADILIKA.
Yes pia usha gundua mkeo ni mtu ambaye hashitushi na jambo hyo ndo mke sasa nakwambia cha msingi tafuta namna ya kuishi nae yule ni mtu mzima kingine kama unakuwa unachukia tafuta namna ya kumwambia sio unamwambia kam unamfokea au unamtukana hvo ndo atazidi kukuona wa kzi gan mfano kama hvo ambavo hakupi unyumba ebu kesho rudi na gauni jipya then mwambie mke wangu jiandae twende sehem hakikisha unampeleka sehem ambayo alikuwa anaipend kipindi hajaonana kisha omba msamaha usimuulize eti kwa nn unipi unyumba we omba msamaha tu hvo hvo ukifanya hvo itamfanya ajue kuwa usha gundua kosa lako ata kama ulijui polea pote we ni mwanaume then update penzi lako nakuakikishia kaka furah itarudi auta hamini ata ukichelewa home atakutafuta coz atakuwa na aman na furaha na wewe pia uwe unapenda kumpa vijizawadi hvo umfanya mwanamke kila akiiona zawdi hyo basi ufeel mapenzi juu yako
Kaka me nakwambia kitu mwanamke anapenda me nilikuwa na mchumba sema alikuwa kichwa maji sana yule jamaa uko kusikiriza ya kijiweni kanipoteza na waliye mshauri kuwa ndo anafaa hyo akakuta ndo kiazi kabsa sasa hv simu hziishi kwangu namuona tu
Huyu mwanamke kazi anayo sio kwa nondo hizi mnazonivikaHahahahah me nakwambia sisi upenda kubembelezwa eti kudekezwa ndo tunapenda usiwe mbabe kwenye mapenzi bro mwanamke kazi yake kukuheshimu tu kupenda na kubembeleza kazi yakoHuyu mwanamke kazi anayo sio kwa nondo hizi mnazonivika