Hii ndoa hainipi amani

Hii ndoa hainipi amani

Pole sana, umesema ni mama wa nyumbani, mna watoto wangapi? Na je mna msaidizi wa kazi, kazi za hapo nyumbani ni nyingi? Watoto wamepishana umri gani?

Pengine anapitia stress za kazi za hapo nyumbani na malezi ya watoto, mazingira ya aina moja ya kukaa nyumbani 24/7 pamoja na kukosa muda wa ku socialize na watu tofauti tofauti

Jitahidi atlist kwa wiki utoke nae japo hata mara mbili, wakati mwingine hata kwa kutembea kwa miguu ali afanye mazoezi kidogo damu ichangamke na abadilishe mazingira na pia hata kuwa na social life itamsaidia kuondoa stress

Wakati mwingine mjaribu kulala nje ya nyumbani atlist once a month na mpate muda wa peke yenu pamoja, hii itamsaidia kubadilisha mazingira ambayo labda yamekua common sana kwake

Ni hali ambayo wanawake wengi wanapitia, sio kwamba anakua na mahusiano mengine ila kuna number of issues ambazo anakutana nazo na ni rahisi kumrudisha kwenye hali ya kawaida kama utapata muda wa kuzungumza nae ujue anajisikiaje na anahihitaji nini kutoka kwako especially mnapokua faragha
Mtoto ni mmoja tu ndugu hakuna msaidizi
Kazi sio nyingi, anahudumia mtoto pamoja na mimi sio familia kubwa
Labda mazingira nitajaribu pia kumpa out za hapa na pale
 
Mtoto ni mmoja tu ndugu hakuna msaidizi
Kazi sio nyingi, anahudumia mtoto pamoja na mimi sio familia kubwa
Labda mazingira nitajaribu pia kumpa out za hapa na pale
Pole sana, jaribu pia kuhakikisha anafanya mazoezi hata lutembea pengine mwili umekua mzembe sana

Pia zungumza nae ujue kama kuna namna ambavyo anatamani umfanyie mnapokua faragha
 
Mmmh....Huenda ulioa mwanamke asiyekupenda/au kuvutiwa na wewe.

Vipi lakini kipindi Cha urafiki na uchumba alionyesha anahisia za kimapenzi nawe?
 
Mmmh....Huenda ulioa mwanamke asiyekupenda/au kuvutiwa na wewe.

Vipi lakini kipindi Cha urafiki na uchumba alionyesha anahisia za kimapenzi nawe?
Nilimuona ni mtu hasiyejali sana, unaweza kaa siku 2 hujamjulia hali alalamiki ye kwake fresh
Ila hana Mwanaume mwingine zaidi yangu ni mtu wa hivyo sema ndo nimempenda
 
Nilimuona ni mtu hasiyejali sana, unaweza kaa siku 2 hujamjulia hali alalamiki ye kwake fresh
Ila hana Mwanaume mwingine zaidi yangu ni mtu wa hivyo sema ndo nimempenda
Hongeraaa kwa upendo wa kweli kwa mkeo.wanaume kama nyie mmebaki wachache sana
 
IMG-20200902-WA0027.jpeg
 
Asante kwa ushauri Mkuu Hili Itabidi Nilipe uzito Badae
Usisubutu kaka sio kila ushauri ni wakufanyia kazi kwa kufanya hvo unaweza jua unajenga kumbe unaboa sasa adhabu inakuja pele utamwaga dagaa kwa nyama ya kupakuliwa....tumia hakiri wewe ni mwanaume hakuna mwanamke apendi kusex na mumewe ukiona hvo kuna kitu usha mkosea ila anashindwa kukuambia ndo kinacho mtafuna na kujikuta ata hamu na wewe hauna kaka tatizo utatuliwa kwa kutafuta suluisho sio kwa kuongeza tatizo kuna mawili kuoa mke mwingine alafu yeye akaondoka kbsa sasa hapo ndo wanasemaga unatupa dhahabu unaokota jiwe fikiria ni wap umemkosea maan sisi wanawake tunaweza kukosewa na tusiseme kwa kuhofia tukisema pengine uwe ugomvi so unaamua kukaa kimya lkn uku kinakutafuna rohoni hapo ndo uwa ata hisia zinaisha kbsa ongea na mkeo jishushe kaka siku moja tu uwezi poteza heshima yako ila unakuwa unatetea ndoa yako jmn mungu akuwaunganisha ili muachane ila mpendane sawa eeh
 
Kuna kajamaa kanakusaidia kumla we hata hushtuki.?

Wanawake wanachanganywa na vtu vidogo sana, kama ushawah kuwa na mahusiano na mke wa mtu utajua.

Unamchekea sana mke wako, sometimes bila makofi hawaelewi,
Aiseee mnakosea sana tu pia tatizo ni utashi unakuwa mdogo ....nachukia sana mapenzi ya ubabe sasa makofi unazani yatabadilisha nini zaidi ya kupoteza ??
 
Duh! Mkuu alikuonyesha dalili kwamba hakujali, ukipiga kimya hata hastuki na bado ukamuoa!? 😳😳😳😳

Nilimuona ni mtu hasiyejali sana, unaweza kaa siku 2 hujamjulia hali alalamiki ye kwake fresh
Ila hana Mwanaume mwingine zaidi yangu ni mtu wa hivyo sema ndo nimempenda
 
Ngoja nilifanyie kazi Hili
Moyo Wangu Nauvika Chuma Sasa Naingia Rasmi Kujenga Ndoa Yangu
Umenifanya Muda Huu Moyo Wangu Ulainike nimemtumia Na Msg Kumuomba Msamaha Kwa Kumfosi Siku Ya Jana
Asante mkuu
Yes wewe sasa ndo mwanaume unatakiwa achana na hao wanao kushauri kuoa mke wa pili sijui kuchepuka wakat na wao wanayo ndan kwao tena ukute yao ni makubwa lakn bado wapo na wake zao hahaha kaka hakiri mwenzio changanya na yako
 
Habari Zenu Wadau

Mwenzenu Nimeoa Ni Miaka Miwili Sasa, Tuna Mtoto Mmoja Anatimiza Miaka Miwili Januari Mwakani

Yeye Ni Mama Wa Nyumbani, Napenda Nikitoka Kazini Nirudi Nyumbani Mapema Kabla Ya Saa 3 Usiku, Awe Karibu Yangu Nimdekeze Aniliwaze

Mara nyingi Anajitenga Yaani Ule Ukaribu Wa Kumkumbatia Na Kumshikashika Huwa Hapendi Na Kuna Wakati Aliniita King'ang'anizi, Pale Nilipojaribu Kumpapasa Wakati Yeye Hataki

Game Hadi Nitake Mimi Lasivyo Utapita Mwezi Bila Kugusana, Nimechunguza Hana Mwanaume Wa Nje

Sitaki Nihangaike kutafuta Wanawake Nje Wakati Familia Yangu Ipo Nyumbani

Jana Tumetembelewa Na Mdogo Wake Wa Kike Sasa Usiku Nikaomba Mechi Akasema Hataki Sababu Mgeni Yupo Nyumbani Atasikia Kelele Zetu, Nikaona Yaishe, Ila Nikaonesha Japo Kuhitaji Kumbatio Lake Nimshike Japo Kidogo Roho Yangu Irizike Nilale Unono Eti Akaniambia ''Nijiheshimu'' mgeni Yupo Nyumbani Huku Akitoa Mkono Wangu Kwa Nguvu Mwilini Mwake Na Akionesha Kukasirishwa

Niliudhika Sana Nikamwambia Sitajaribu kumgusa Tena Abaki Na Mwili Wake. Mke Wangu Hana shida Kwenye Mambo Mengine Ila Hili La Ukaribu Na Unyumba Limekuwa Likitukosanisha Mara kwa Mara

Wakuu Nyeto Nilishaacha Sasa Nimeoa Niendelee Kupiga Nyeto Wakati Mke Yupo Nyumbani Kweli!? Hili suala Linavuruga Hadi Shughuli Zangu Za Utafutaji Maana Sina Amani Na Akili Haipati Utulivu Na Kuliwazwa

Msaada Wakuu Mliopitia Haya Na Yeyote Mwenye Ushauri Kwa Haya Yanayoisibu Hii Ndoa
Piga maombi sana boss, ila pia inawezekana amepungukiwa hormones na madini fulani hivi, wanawake wakizaa wengi wao hamu ya tendo la ndoa upungua, hilo hutokea cha kufanya kuwa busy tu na mambo yako usiwaze kuchepuka, nendeni hata hospitali kupata ushauri zaidi
 
Itabid uwe na msimamo kama mwanaume, ndio unaweza kumrudiaha hata kwao, haina maana ya kukaa na mtu alafu hu enjoy nae.

Bora aende kwao, huku hakijua , kosa lake.
Sio kwamba haenjoy anaenjoy nae sema mkewe kapoteza hisia kwake kilichopo ni yeye kuonesha uanaume wake sasa kama vile alivo mtongoza akakubali ndo inabid afanye now mfeli wap jmn
 
Habari Zenu Wadau

Mwenzenu Nimeoa Ni Miaka Miwili Sasa, Tuna Mtoto Mmoja Anatimiza Miaka Miwili Januari Mwakani

Yeye Ni Mama Wa Nyumbani, Napenda Nikitoka Kazini Nirudi Nyumbani Mapema Kabla Ya Saa 3 Usiku, Awe Karibu Yangu Nimdekeze Aniliwaze

Mara nyingi Anajitenga Yaani Ule Ukaribu Wa Kumkumbatia Na Kumshikashika Huwa Hapendi Na Kuna Wakati Aliniita King'ang'anizi, Pale Nilipojaribu Kumpapasa Wakati Yeye Hataki

Game Hadi Nitake Mimi Lasivyo Utapita Mwezi Bila Kugusana, Nimechunguza Hana Mwanaume Wa Nje

Sitaki Nihangaike kutafuta Wanawake Nje Wakati Familia Yangu Ipo Nyumbani

Jana Tumetembelewa Na Mdogo Wake Wa Kike Sasa Usiku Nikaomba Mechi Akasema Hataki Sababu Mgeni Yupo Nyumbani Atasikia Kelele Zetu, Nikaona Yaishe, Ila Nikaonesha Japo Kuhitaji Kumbatio Lake Nimshike Japo Kidogo Roho Yangu Irizike Nilale Unono Eti Akaniambia ''Nijiheshimu'' mgeni Yupo Nyumbani Huku Akitoa Mkono Wangu Kwa Nguvu Mwilini Mwake Na Akionesha Kukasirishwa

Niliudhika Sana Nikamwambia Sitajaribu kumgusa Tena Abaki Na Mwili Wake. Mke Wangu Hana shida Kwenye Mambo Mengine Ila Hili La Ukaribu Na Unyumba Limekuwa Likitukosanisha Mara kwa Mara

Wakuu Nyeto Nilishaacha Sasa Nimeoa Niendelee Kupiga Nyeto Wakati Mke Yupo Nyumbani Kweli!? Hili suala Linavuruga Hadi Shughuli Zangu Za Utafutaji Maana Sina Amani Na Akili Haipati Utulivu Na Kuliwazwa

Msaada Wakuu Mliopitia Haya Na Yeyote Mwenye Ushauri Kwa Haya Yanayoisibu Hii Ndoa
Je kabla ya kuzaa alikua anatoa tamu?
 
Asante kwa ushauri Mkuu Hili Itabidi Nilipe uzito Badae
Usimsikilize huyo bwana mdogo kwamba umtafute mke mdogo ndiyo kwanza unapalilia moto, zungumza nae mjue anataka nini ikiwezekana kama nilivyokuambia nenda nae hospitali mkasikie ushauri wa dr wanawake wanapoteza sana hamu ya tendo mkeo sio mtu wa kwanza aiseeh so jipe muda
 
wanawake wengi wanapopata watoto huonesha mabadiliko makubwa sana ndoani, mapenz yao makubwa huyaelekeza kwa watoto na hili husababisha migogoro ya mara kwa mara ndoani.

mwanaume ukishaliona hilo unapaswa kuanza upya kushow love kwake kana kwamba ndo kwanza mmefahamiana ili u-refresh her mind, hii husaidia kuufufua upendo na maisha hurejea sawia.
Hoja ya msingi hii hapa, akipita hapa achukue hizi hoja
 
Back
Top Bottom