Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,422
- 271,900
Kwi! Kwi! Kwi!HUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
Kwi! Kwi! Kwi!HUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
Same to you sir....thanks a lotNiwatakie wachaga wote Merry Xmas and happy New year
.Nimezaliwa Ngara, naishi Mtwara, Mr wangu anajenga Dar. Sasa hapa kwetu ni wapi?
Sasa kumbe ulishaolewa hiyo kukataa kuolewa na Mchangha unaitoa wapi,kwa hiyo mawazo yako unawaza ipo siku utaachika ili uolewe tena sio?believe me...hakuna Mchangha atakutongoza wewe atake kukuoa,labda kusuuzia rungu ila sio mengine!!!Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Umegonga mkuu, mchimba chumvi huyoSasa kumbe ulishaolewa hiyo kukataa kuolewa na Mchangha unaitoa wapi,kwa hiyo mawazo yako unawaza ipo siku utaachika ili uolewe tena sio?believe me...hakuna Mchangha atakutongoza wewe atake kukuoa,labda kusuuzia rungu ila sio mengine!!!
we pumzika home.Home kwetu uchaganiWanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Wachaga hatuoi wajingaWanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Waache waende, wanatupunguzia stress za traffic mjini.Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Na ndio wamejisikia sasa... [HASHTAG]#usitumie[/HASHTAG] nguvu....ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Kwahiyo unafurahia foleni,Hata gazeti la Mwananchi Leo limeripoti kuwa foleni Ni kubwa Sana Na bar zimefurika hasa zile zenye nyama choma
Kituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida
![]()
![]()
Nakutakieni x mass njema na Heli ya mwaka Mpya.Kituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida
![]()
![]()
Ni amri ya ngapi? una uhakika gan hawajajiskia? au wewe ukienda pekee ndo umejiskia? Nenda skuli dogoKwanza kabisa mimi si bwana'ko,pili kujisikia haiwezi ikawa ya SHARTI la mwaka ambapo karibia wote mnaenda,hii sio kujisikia bali ni AMRI.
Bora umewaambia maana wamekalia kuwasema wachaga utadhani kunawalicho waomba.Sasa wewe inakuuma nini jambo lisilokuhusu!?
Watu mnashangaza sana, safari wanasafiri wao, pesa wanazotumia ni zao, kama ni matambiko ni yao...wewe kinachokuuma ni nini? Au unaathirika vipi na hao watu kwenda kwao?
Pilipili anakula mwingine wewe unasugua mdomo..maajabu haya!
HUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
Kama unaweza kwenda kwenu kila unapojisikia basi hata kazini unaenda kila unapojisikia. Hayo maendeleo mtayapata sasa ngapi wakati upo kwenu Tanga ukila bata.ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Kama kwenu huna au mlikimbia uchawi, chuki, magonjwa na umaskini na hata mila na desturi, utamaduni za kwenu huna. Wewe ni mtumwa, na lazima uowaonee wivu wachagga.HUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV