samora10
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 7,607
- 4,817
Sio kiki, ni mila na desturi tu, mambo mengine kama hayakuhusu unapita tu... Wachaga na mila na desturi zao huwaambii kitu, lakini popote duniani xmass ni wakati wa kukaa na familia na kureflect..Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home