Hii ndo hali halisi leo Arusha

Hii ndo hali halisi leo Arusha

Kwa kweli hali ni tete private car zinazoingia moshi na Arusha ni nyingi sana kumekua na msongamano wa kufa mtu machame

Pale himo ndio balaa marangu na rombo hakufai magari ni mengi barabara za moshi zinakuwa finyu kama barabara za posta mamlaka husika ziingilie kati.
Si bure, kuna kitu mwaka huu. Wanaenda kukaa kikao nini wam-fix Magu!!?.
 
Wachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Tanga nauli ni mia moja - alafu wew utakuwa mvivu wa kazi.
 
Kwanza kabisa mimi si bwana'ko,pili kujisikia haiwezi ikawa ya SHARTI la mwaka ambapo karibia wote mnaenda,hii sio kujisikia bali ni AMRI.
Sasa wewe inakuuma nini jambo lisilokuhusu!?
Watu mnashangaza sana, safari wanasafiri wao, pesa wanazotumia ni zao, kama ni matambiko ni yao...wewe kinachokuuma ni nini? Au unaathirika vipi na hao watu kwenda kwao?
Pilipili anakula mwingine wewe unasugua mdomo..maajabu haya!
 
Kituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida

wp_20161224_003-jpg.449913


wp_20161224_002-jpg.449919
NDAFU
 
Wachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Kweli mkuu ila unaweza kwenda baada ya miaka 3 wenzio kila mwisho WA mwaka wanaenda kuhesabiwa
 
Kituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida

wp_20161224_003-jpg.449913


wp_20161224_002-jpg.449919
Uzuri wa Arusha hata Noah zitapiga mzigo tu haina noma
 
Sasa hapo napo mpaka wapande bus, sihata kwa boda boda hapa unafika tu
 
Wewe kwenu ndo kuna wachawi ukienda hata na Boxer Bm 150 kesho yake unaamkia njiapanda ukiwa uchi akati ulilala ndani kitandani,sasa ukienda na Passo or Ist si watakuuwa kabisa?usijichanganye ukaenda na Prado wanauwa mpaka mkeo.wengi mnaoponda humu kwenda kwenu mnaogopa wachawi ila mnatamani kuwa kama wachagha but mmeshachelewa labda vizazi vyenu vya saba au nane ndo watathubutu japo yahitajika elimu kweli kweli.
NENO
 
Back
Top Bottom