Hata sie simiyu tupo vizuriSie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.
Kwahiyo sina kazi, lakini naweza kwenda Tanga kwa mwaka si chini ya mara x 12, vipi Lexus Harrier yangu unanijazia wewe mafuta..........???Wanatafuta mwaka mzima alafu desemba wanakutana kwa ajili ya ibada ya pamoja sasa wewe si unaenda Tanga kila unapojisikia kwa kuwa huna kazi ya kufanya umekalia tu mapenzi
Kwanza kabisa mimi si bwana'ko,pili kujisikia haiwezi ikawa ya SHARTI la mwaka ambapo karibia wote mnaenda,hii sio kujisikia bali ni AMRI.Sasa umeongea nn? kama unaenda unapojiskia na wao pia wanaenda wanapojiskia ambapo ni mwisho wa mwaka... hhahhaha elimu bwana
Anataka awaache na nyie wa kishimundu aisee babaanguUsisahau machame, marangu Na Moshi vijijini aisee

Umeenda eti....Teh pole
Mamlaka ziingilie kati kwa msongamano wa siku mbili??? huo msongamano ni leo na kesho kutwa basi baada ya hapo hamna foleni tenaKwa kweli hali ni tete private car zinazoingia moshi na Arusha ni nyingi sana kumekua na msongamano wa kufa mtu machame
Pale himo ndio balaa marangu na rombo hakufai magari ni mengi barabara za moshi zinakuwa finyu kama barabara za posta mamlaka husika ziingilie kati.
Hats Mimi nashangaa. Hapo moshi tu wanaona mbali na sisi tuliopo Dar tufanyaje.Moshi karibu waende kwa miguu
Mababu zetu walikuwa wanasafiri hivyo hakukuwa na mabasi
Wanatafuta pesaWachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Kwani kuna jamii/kabila isiyotafuta pesa ..........??Wanatafuta pesa
Kwa kweli hali ni tete private car zinazoingia moshi na Arusha ni nyingi sana kumekua na msongamano wa kufa mtu machame
Pale himo ndio balaa marangu na rombo hakufai magari ni mengi barabara za moshi zinakuwa finyu kama barabara za posta mamlaka husika ziingilie kati.
.....na sie tunataka flaying over sio Dar tu hata huku tunazihitaji.Wewe kwenu ndo kuna wachawi ukienda hata na Boxer Bm 150 kesho yake unaamkia njiapanda ukiwa uchi akati ulilala ndani kitandani,sasa ukienda na Passo or Ist si watakuuwa kabisa?usijichanganye ukaenda na Prado wanauwa mpaka mkeo muachie watoto uyatima.wengi mnaoponda humu kwenda kwenu mnaogopa wachawi ila mnatamani kuwa kama wachagha but mmeshachelewa labda vizazi vyenu vya saba au nane ndo watathubutu japo yahitajika elimu kweli kweli.HUU NAO NI USHAMBA AMBAO WACHAGA WENGI WAMESHINDWA KUJINASUA. HUU BILA SHAKA NI UCHAWI FLANI HV
Acha kuvaa kabila lisilo lako mkuuaa wapi utajifunza Kichaga lini wakati wenzio hapa tunaongea lugha ya kichawi tu.
hizi safari za mwisho wa mwaka sisi wenzenu tunaenda kwenye ibada za mazindiko migombani. so, hata kwa kupanda bajaji piga ua lazima niende!
Wivu Unakuuma Balaaa.... NtwaraSie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.



....