Hii ndo hali halisi leo Arusha

Hii ndo hali halisi leo Arusha

Mwaka huu nilijua jamaa kutokana na hali ngumu ya maisha hawataenda kumbe hakuna kitu hii halii ngumu inaweza kuwa kwa cc wakusini nn
 
ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
kumbe waenda unapojisikia!!? vipi na wao kama walikua hawajisikia kama wewe? je huoni nao ndio wamejisikia.
 
Wewe kwenu Mtwara maendeleo mmeyapata baada ya mkapa kuwajengea daraja miaka ya 2000. wenzako wachagga maendeleo yaliyapata miaka 1955.

Wakati nyie mna miliki private car uchwara wachagga wanamiliki ardhi na magari ya kifahari.
Acha historia wewe. Wachaga ilikuwa zamani. Sikuhizi wachaga asilimia kubwa ni mandumbu na masikini wa kutupwa. Maendeleo waloyapata babu zako kwa kuinamishwa mgongo na wazungu ndo unajivunia we masikini fukara wa kutupa?
Ona mnavvotia aibu na huruma ka wakimbizi wa somalia. Mngekuwa na pesa kweli si mngepanda magari private?
 
Hasira zote hizo ni hayo maendeleo ya wachaga au kuna kitu nyuma ya pazia mzee?
 
Acha historia wewe. Wachaga ilikuwa zamani. Sikuhizi wachaga asilimia kubwa ni mandumbu na masikini wa kutupwa. Maendeleo waloyapata babu zako kwa kuinamishwa mgongo na wazungu ndo unajivunia we masikini fukara wa kutupa?
Ona mnavvotia aibu na huruma ka wakimbizi wa somalia. Mngekuwa na pesa kweli si mngepanda magari private?
Povu lako si la nchi hii ni lakujifariji
 
Back
Top Bottom