Hii ndo hali halisi leo Arusha

Hii ndo hali halisi leo Arusha

Hivi waliotangaza kuwa maisha ni magumu sana mabasi yamepaki hamna abiria wa kusafiri, wanajisikiaje kuona watu wamekosa mabasi ,na wengine wakidandia coaster kwa nauli mara mbili.

Aibu ya kufungia mwaka hii.
Ha ha wakusamehewa bure tu hao
 
Kwa hali hiyo watu wanalalamika maisha magumu, magufuli lete ndege kurahisisha hizi shida
 
Hawa nao, taabu yote hiyo ni kwenda kutambika!
 
Kuna ujenzi wa barabara unaendelea kwanini wasiombe caterpillar moja liwapeleke
 
Chuki binafsi, kama mkimbizi Tanzania rudi kwenu, acha watu na tamaduni zao bana, ni moja tukio kubwa sana ndani ya Tanzania kwa wachaga kwenda kwao kwa wingi, Nashauri itangazwe kuwa ni moja kivutio cha watalii kutembelea moshi msimu huu.
Asante kwa kuja.
 
Sie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.
Wewe kwenu Mtwara maendeleo mmeyapata baada ya mkapa kuwajengea daraja miaka ya 2000. wenzako wachagga maendeleo yaliyapata miaka 1955.

Wakati nyie mna miliki private car uchwara wachagga wanamiliki ardhi na magari ya kifahari.
 
Hivi kuna watu hadi sasa hivi wanaabudu mizimu...hakika watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Yaani maisha yanaendelea tu!! Halafu kuna kichaa mwingine anaamini bila yeye Arusha itasimama...
 
Sie kwetu ntwara kila mtu asilimia kubwa tunatumia private cars sio hawa warombo wanajazana kwenye magari ya umma ka mafanensi ya tandika. Badilikeni nyie ndumbu.
Hakuna mikoa yenye watu maskini kama yenu, huku mkishindia ugali kwa mapanki.

Mkoa wa Kilimanjaro unajidhihirisha wenyewe.

Sasa hivi mji wa Moshi umejaa Prado,lx, land cruiser v8 zinakwenda kupaki kwenye majumba ya kifahari yaliyo vijijini, yaliyojengwa kwa matofali na kuezekwa vigae na yenye madirisha ya aluminum.



Hata sie simiyu tupo vizuri
 
Kwanza kabisa mimi si bwana'ko,pili kujisikia haiwezi ikawa ya SHARTI la mwaka ambapo karibia wote mnaenda,hii sio kujisikia bali ni AMRI.
Wachagga wanamalizia kuimiliki ardhi kwenu Tanga , Morogoro, Pwani tayari. baadae yanaingia Lindi.
 
ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Labda huwe umejiajiri ndiyo huwe na hiyo nafasi ya kwenda kwenu kila kukicha, wenzako ndiyo wamepata nafasi wanaitumia hivyo
 
Kama unaweza kwenda kwenu kila unapojisikia basi hata kazini unaenda kila unapojisikia. Hayo maendeleo mtayapata sasa ngapi wakati upo kwenu Tanga ukila bata.
Lakini unajua kuwa BATA LINALIWA UKIWA NA PESA SI NDIO.....Basi pesa ipo ndio maana naenda kuila.
 
Back
Top Bottom