Hii ndo hali halisi leo Arusha

Hii ndo hali halisi leo Arusha

Natamani nije fasta hapo, embu mwambie mpishi hapo achome kuku hapo jikoni fasta, nakuja na wine Boss
Hahahaa mkuu wahi sababu wateja leo wanajichomea nyama wenyewe kila mtu ni mtaalamu hapa ni mshike mshike kitim tim.
 
Usiku itakua mbaya zaidi
Jioni hii hali ni tete
21967cfc9628bacb52d09e789d430787.jpg
 
Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
what a coincidence? Ujue hata mimi nilishagoma kuoa pande hizo, mbwembwe za kwenda kuonesha bingwa wa kulewa ukweni sizitaki. Kwa hiyo Xmas hii wewe uko pande zipi?
 
Hawa watu wanataka wasifiwe kwa sifa za kijinga tu, mle mkalale bhanaa.., moshi moshi kitu gani..
 
girl we got egos they can't tell us we ain't shit

Nimetania bana, ila moshi mji mkubwa sio wachaga tu kuna wapare na wagweno na watu wengi nje ya Kilimanjaro, acha ukabila
Pare+Gweno+other tribes is very insignificant! Less than 4%. Mark my words
 
Hawa watu wanataka wasifiwe kwa sifa za kijinga tu, mle mkalale bhanaa.., moshi moshi kitu gani..
Chuki binafsi, kama mkimbizi Tanzania rudi kwenu, acha watu na tamaduni zao bana, ni moja tukio kubwa sana ndani ya Tanzania kwa wachaga kwenda kwao kwa wingi, Nashauri itangazwe kuwa ni moja kivutio cha watalii kutembelea moshi msimu huu.
 
Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Fikra finyu.
 
Hapo ndipo umuhimu wa kumiliki passo na vits utaonekana
 
Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Kwani wao wenyewe wanamtaka mwenye RAMBO
....
 
Back
Top Bottom