Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,180
- 24,798
Kweli mkuu, kutakua kumefurika hatare!!Usisahau machame, marangu Na Moshi vijijini aisee
Kweli mkuu, kutakua kumefurika hatare!!Usisahau machame, marangu Na Moshi vijijini aisee
Wachagga punguzeni sifaKituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida
Kweli kabisa nyomi lilianzia ubungo, ingawaje kuna popo walikuwa wanasema hakuna kabisa watu wanao safiri, jambo ambalo si kweli.sio Arusha tu mkuu..!
Yaani huku Dar kama unataka ujifunze kichaga
nenda UBUNGO.. saivi kila mtu anaongea kichaga pale
Kupata seat hapa la liga sio kitu cha mchezo na ukitaka nyama choma angalau ufahamiane na mpishi majiko ni mengi lakini ni kama hakuna kinachoendelea hapa huduma zinapatikana kwa magendo watu ni wengi blaaaahHata gazeti la Mwananchi Leo limeripoti kuwa foleni Ni kubwa Sana Na bar zimefurika hasa zile zenye nyama choma
Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika homeWachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Natamani nije fasta hapo, embu mwambie mpishi hapo achome kuku hapo jikoni fasta, nakuja na wine BossKupata seat hapa la liga sio kitu cha mchezo na ukitaka nyama choma angalau ufahamiane na mpishi majiko ni mengi lakini ni kama hakuna kinachoendelea hapa huduma zinapatikana kwa magendo watu ni wengi blaaaah
Sasa umeongea nn? kama unaenda unapojiskia na wao pia wanaenda wanapojiskia ambapo ni mwisho wa mwaka... hhahhaha elimu bwanaWachagga ni limbukeni sana,hawaendi kwao hadi mwisho wa mwaka. Wakati mimi kwetu Tanga naenda kila ninapojisikia.
Huu nao ni wivu wa kijinga, nenda na wewe kwenu, Wee utakua kabila la sizonje tuWanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
Watumie walichojifunza darasani watu tunachelewa kufanya mambo yetu na mambo ni mengi muda wenyewe hautoshiMamlaka ziingilie kati kivipi?
Sasa ww unataka mamlaka zipi ziingilie kati utaki watu waende kwao.Kwa kweli hali ni tete private car zinazoingia moshi na Arusha ni nyingi sana kumekua na msongamano wa kufa mtu machame
Pale himo ndio balaa marangu na rombo hakufai magari ni mengi barabara za moshi zinakuwa finyu kama barabara za posta mamlaka husika ziingilie kati.
aa wapi utajifunza Kichaga lini wakati wenzio hapa tunaongea lugha ya kichawi tu.sio Arusha tu mkuu..!
Yaani huku Dar kama unataka ujifunze kichaga
nenda UBUNGO.. saivi kila mtu anaongea kichaga pale
Hahahaa nani anakutaka sasa?Wanatafuta kick za kijinga tu. Ohoo mara kuhesabiwa, ohoo sisi ndo wenye uchumi. Yaani sitakaa niolewe na hili kabila. Stress zote za kusafiri sikukuu badala ya kupumzika home
yaani ndio Arusha ilivyo hii? kijijini kabisa hapa.
daaah yan m2 nyomi balaaKituo kikubwa cha mabasi Arusha kimezidiwa Na Abiria wanaoenda Moshi, bado hali Ni tete kwa abiria wakiwa hawajui hatma ya safari kutokana Na kuwa wengi kuliko kawaida