Hii ndo Dar bwana!

Babu hebu nipe maelezo zaidi na ikibidi maelekezo kuhusu Sehemu tajwa hapo juu.. Pliiiiiz
Kwe kwe kwe!!!!!!!!! Fataki @ work LOL. Angalia mwenyewe afu ndo utajua kwanini watu wanasema kiwango cha elimu kinashuka siku hadio siku...

Asprin,
FairAway si yule Joyce wa Semenya nasikia ndo hawara yako.
 
Last edited by a moderator:
Kwe kwe kwe!!!!!!!!! Fataki @ work LOL. Angalia mwenyewe afu ndo utajua kwanini watu wanasema kiwango cha elimu kinashuka siku hadio siku...

Sa ndo vinini hivi unaniwekea badala ya kunisaidia kadri ya ombi langu?
Acha roho mbaya Arifu....
 
dogo lala bana...km unaweza njoo nyumbani lounge

Naona unashindana na Ex wako Preta, yeye yuko Sky Lounge, wewe uko Nyumbani Lounge...
Halafu wote mnaonekana wapweke..
Hebu yamalizeni kiutu uzima Jombaa!
 
kama wewe ni mgeni ukienda gesti za uswazi ukitaka chumba cha kulala unaambiwa vimejaa,ila ukighairi ukitaka cha show time vipo vya kumwaga,utaisoma,kulala kalale kwako hapa ni fwedha tu
 
Ulienda na nani?
Lete data.
 
kama wewe ni mgeni ukienda gesti za uswazi ukitaka chumba cha kulala unaambiwa vimejaa,ila ukighairi ukitaka cha show time vipo vya kumwaga,utaisoma,kulala kalale kwako hapa ni fwedha tu

Wewe ulienda gesti gani?
By the way, vyumba vikijaa hata sebuleni tutalala...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…