Hii ndiyo siri ya mtu kuvaa nguo ya ndani yenye rangi nyekundu au nyeusi

Hahaaaa. Kwa sisi hasa wale wapenda kununua kwa dozen huwa hatuwezi zikwepa sababu lazima ziwepo humo hivyo kuvaliwa haikwepeki hasa zile siku maalum zile.
Kwa siku maalumu haina shida, nazungumzia ile unakuta mshajiandaa kisaikolojia tangu mapemaaaa asa inafika ile mida muafaka wa kutumia vijino( )mara unakuta kile kijiua cha ndani ni rangi nyeusi aaarrrrrrgggghhh!!
 
Kwa siku maalumu haina shida, nazungumzia ile unakuta mshajiandaa kisaikolojia tangu mapemaaaa asa inafika ile mida muafaka wa kutumia vijino( )mara unakuta kile kijiua cha ndani ni rangi nyeusi aaarrrrrrgggghhh!!
Hahahaaa. Hivi wapo kweli wanawake wa hivyo Mbalizi?
 
Hapana mkuu Mshana, nilitaka tu kutoa maoni kiistaarabu, lakini kwa bahati mbaya kabisa nikatumia maneno makali, naomba radhi kwa mara nyingine.
Ni utetezi mzuri na wa kiungwana sana lakini naelewa fika kuwa kuna option ya kusahihisha hata baada ya kupost ila hukupenda kuitumia..
 
Rangi nyeusi na nyekundu ni rangi pendwa za Lucifer au Shetani [kwa lugha nyepesi]…

Kuna watu wanapenda sana kuvaa nguo za ndani zenye rangi nyekundu ama nyeusi kwa lengo kuu maalum na kwa faida wanazozijua wao. Hawavai bure bure. Nimejaribu kukuletea sababu kuu chache za wavaaji wa nguo hizo:

1. Mganga au mshirikina

2. Mfanyabiashara anayetumia 'ndumba' katika kufanikisha biadhara yake

3. Mfanyakazi mpenda majungu na aliyejipatia nafasi kwa njia za kishirikina

4. Mtu mwenye mapepo a majini

5. Anayeabudu ushirikina kuliko kumtehemea Mungu

6. Aliyeoa au kuolewa kwa njia za kishirikina

7. Aliyefanikiwa baada ya kutoa kafara mtoto au mzazi wake


Ni hayo tu!

Dini zenu zinawapoteza
 
Ili Nchi Iendelee Inahitaji :-
1. Watu
2. Uongozi Bora
3. Siasa Safi
4. Ardhi





Kwa Mleta Mada Kuna Jambo Huenda Linawezekana Halipo Sawa Sawa
Asilimia Kubwa Watu Wengi Sana Hutumia Nguo Bila Hata Kujua Lolote Linalohusu Hayo Aliyosema
Nimejaribu Tu Kuwaza Timu Yaweza Kuwa Na Jezi Nyeusi Hapo Napo
 
Back
Top Bottom