Hii ndiyo siri ya mtu kuvaa nguo ya ndani yenye rangi nyekundu au nyeusi

Rangi nyeusi na nyekundu ni rangi pendwa za Lucifer au Shetani [kwa lugha nyepesi]…

Kuna watu wanapenda sana kuvaa nguo za ndani zenye rangi nyekundu ama nyeusi kwa lengo kuu maalum na kwa faida wanazozijua wao. Hawavai bure bure. Nimejaribu kukuletea sababu kuu chache za wavaaji wa nguo hizo:

1. Mganga au mshirikina

2. Mfanyabiashara anayetumia 'ndumba' katika kufanikisha biadhara yake

3. Mfanyakazi mpenda majungu na aliyejipatia nafasi kwa njia za kishirikina

4. Mtu mwenye mapepo a majini

5. Anayeabudu ushirikina kuliko kumtehemea Mungu

6. Aliyeoa au kuolewa kwa njia za kishirikina

7. Aliyefanikiwa baada ya kutoa kafara mtoto au mzazi wake


Ni hayo tu!

Kwahiyo baada ya wekundu kuwa champions ndo ikaona utuletee conspirscy hizi?
 
chupi nyekundu ina mvuto na hisia kali za kimapenzi.Wapenzi hupenda kuvaliwa rangi nyekundu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom