Hii ndiyo siri ya mtu kuvaa nguo ya ndani yenye rangi nyekundu au nyeusi

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Rangi nyeusi na nyekundu ni rangi pendwa za Lucifer au Shetani [kwa lugha nyepesi]…

Kuna watu wanapenda sana kuvaa nguo za ndani zenye rangi nyekundu ama nyeusi kwa lengo kuu maalum na kwa faida wanazozijua wao. Hawavai bure bure. Nimejaribu kukuletea sababu kuu chache za wavaaji wa nguo hizo:

1. Mganga au mshirikina

2. Mfanyabiashara anayetumia 'ndumba' katika kufanikisha biadhara yake

3. Mfanyakazi mpenda majungu na aliyejipatia nafasi kwa njia za kishirikina

4. Mtu mwenye mapepo a majini

5. Anayeabudu ushirikina kuliko kumtehemea Mungu

6. Aliyeoa au kuolewa kwa njia za kishirikina

7. Aliyefanikiwa baada ya kutoa kafara mtoto au mzazi wake

Ni hayo tu!
 
Mmh! sawa ndugu.
 
Tukiwa kwenye safari zetu za kwenye sayari hizo ndo rangi zetu pendwa sasa uchawi unahusianaje hapo
 
Rangi nyeusi na nyekundu ni rangi pendwa za Lucifer au Shetani [kwa lugha nyepesi]…

Kuna watu wanapenda sana kuvaa nguo za ndani zenye rangi nyekundu ama nyeusi kwa lengo kuu maalum na kwa faida wanazozijua wao. Hawavai bure bure. Nimejaribu kukuletea sababu kuu chache za wavaaji wa nguo hizo:

1. Mganga au mshirikina

2. Mfanyabiashara anayetumia 'ndumba' katika kufanikisha biadhara yake

3. Mfanyakazi mpenda majungu na aliyejipatia nafasi kwa njia za kishirikina

4. Mtu mwenye mapepo a majini

5. Anayeabudu ushirikina kuliko kumtehemea Mungu

6. Aliyeoa au kuolewa kwa njia za kishirikina

7. Aliyefanikiwa baada ya kutoa kafara mtoto au mzazi wake

Ni hayo tu!
.
IMG_20180520_103833_941.jpg
 
Waganga wote wa ndumba ni rangi zao, hujakosea Mshana. Angelia hirizi ya mtoto mkononi au kiunoni ni rangi ipi??
 
Back
Top Bottom