pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,244
Hiyo arrangement ya ofisi na ma-file sijaipenda hata kidogo. Ila sidhani kama hapo ni ikulu, nafikiri ni home kwake.
Hii ni ofisi binafsi au ya serikali? Maana ofisi ya serikali huwezi kwenda na raba za mchakamchakaHabari za asubuhi wanajamvi.
Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.
Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.
Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.
Hongera Rais Wetu.
View attachment 1651282
Unavaaje tisheti ya chama cha siasa kwenye ofisi ya serikali? Hako kanguo ka ndani hakapaswi kuvaliwa kwenye ofisi za serikali.Habari za asubuhi wanajamvi.
Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.
Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.
Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.
Hongera Rais Wetu.
View attachment 1651282
Awaachie ili muibe nyaraka? Acha ikae ivo ivo alimradi mambo yote nchini yanaenda kama alivopanga. Miaka hii hakuna Siri ya ofisi ya Rais inayovuja.Hiyo meza unajua bei yake wewe?
Hiyo simu unajua bei yake wewe.
Hiyo printer unajua bei yake wewe?
Hatujasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.
Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?
Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Kujisifia Umaskini ni LaanaHabari za asubuhi wanajamvi.
Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.
Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.
Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.
Hongera Rais Wetu.
View attachment 1651282
NakaziaHii reply ibandikwe juu kila mtu aione.
utabakia hivyo hivyo.we ynafikir ofisi kuwa nzuri ndio kipimo cha kazi.? mao ofisi mangap yanapambwa utafikir hotel na bado uozo mtupu kazi hazionekani??Magu ni local by nature hawezi kubadilika. Full stop
Sio watanzania tu, watu wengi duniani wako hivyo hata katika nchi zilizoendelea.Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.
Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Ndio tulivyo, upopoma umetujaa.Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.
Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Chumba cha kupltolea photocopy sio office ya Rais iyo. Itakuwa secretary ndye kampiga picha. Alafu secretary anapenda sana ngono. Umeona kitambu anachosoma secretary???Habari za asubuhi wanajamvi.
Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.
Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.
Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.
Hongera Rais Wetu.
View attachment 1651282
Sishangai kwa kusifia "mpangilio" huo.Kupenda ni upofu! Kinachonishangaza ni kutosifia alipokuwa anagaa gaa kwenye miamba kama "mjusi!"Habari za asubuhi wanajamvi.
Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.
Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.
Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.
Hongera Rais Wetu.
View attachment 1651282
duh, yaani hamuishiwi tu maneno, sahz mmehaia kwenye mpangilio mbovu wa ofc, ni mwendo wa kuhamisha magori tuHiyo meza unajua bei yake wewe?
Hiyo simu unajua bei yake wewe.
Hiyo printer unajua bei yake wewe?
Hatujasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.
Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?
Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Sio watanzania tu, watu wengi duniani wako hivyo hata katika nchi zilizoendelea.
Obama aliwahi toka white house akatembea mitaani kununua burgers na bites kwenye migahawa ya kawaida. Njiani alisalimiana, ku-hug na kugongeana tano na watu mbalimbali.
Chart yake ikapanda mno kwa wamarekani.
So sio lazima kila jambo linaloonekana liko awkward basi ni la watanzania tu.