Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatujasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Napenda kuwa na pc ofisini kwangu
 
Namkubali Raisi wangu. Ila kusema office kuwa hivyo ndio kuwa Raisi wa wanyonge huo Ni mtazamo potofu.
After all office ya Raisi sio kuchumba tu, anachokaa na kuongea na simu. Au kufanya kazi yake Fulani.

Kupost hivi na kusema hii inaonyesha Ni Raisi wa wanyonge Ni utoto, au at least inaonyesha kutoelimika kwa kuamini hivyo.
 
Picha inanambia Kuwa izo files zimewekwa tu kwajili ya kupiga picha.
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Siamini kama kuna watu wanafanya kazi bila ya kuwa na computer wala internet! Yaani makabrasha tuu! Inanipa hisia kama raisi wetu yuko very poorly informed about the world and things around him.
 
Meza kujaa mafaili ni dalili za kuto kutenda kazi. Faili likifika ofisini linatakiwa liondoke sio kukesha juu ya meza. Tafuta kick nyungine
 
Huo umodeni wako ndio umetutoroshea madini kwenda kwa jamaa zako miaka yote. Tunamhitaji Rais local uko sahihi. Have you ever seen him kwearing the pipa going abroad?
Ile Tanzanite kaipeleka wapi?

Msituchoshe hakuna msafi
 
Kukosa exposure hata ofisi ya Mangi iko smart kuliko huo uchafu, sipati picha kitanda chake kikoje, mafaili hadi kitandani.
Uchafu is a relative concept; I sorry sana kwamba Western propaganda zimekughilimu ubongo wako mzuri
 
Meza kujaa mafaili ni dalili za kuto kutenda kazi. Faili likifika ofisini linatakiwa liondoke sio kukesha juu ya meza. Tafuta kick nyungine
Ukiandika Kiswahili, lugha ya taifa uwe makini sana na unaweza hata kugugo baadhi ya maneno; usikae tu ofisini unatakiwa ujishughulishe siyo kukesha unakosoa hata bila uelewa.
Tafuta kuku mwingine.
 
Picha inanambia Kuwa izo files zimewekwa tu kwajili ya kupiga picha.
Ndivyo alivyofanya. Jiwe 🐍 hana akili.

Na hata picha yenyewe imepigwa baada ya mazungumzo kwaajili ya PR ( kama yalikuwepo ).
 
Siamini kama kuna watu wanafanya kazi bila ya kuwa na computer wala internet! Yaani makabrasha tuu! Inanipa hisia kama raisi wetu yuko very poorly informed about the world and things around him.
Unataka Rais akagugo mtandaoni jinsi ya kupitia na kukagua ufanisi wa mradi wa SGR & JNHPP, siyo!??
 
Hayo madini yalitoroshwa na serikali ya CHADEMA?
That is obviously beside the point. The President is dealing with matters zinazohusiana na nchi yake. Last tenure mlimpigia kelele Mkwere kwamba habanduki angani kwenda uzunguni, our current President is rightly "balancing the budget"!
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
We ni mwehu. Anakurubuni ili aendelee kupiga hela kwa kuwahadaa watanzania eti ni mnyonge. Mbona tril 1.5 alizoiba hakukwambia amezipeleka wapi! Mbona anawaibia watu kwenye account zao na kuzikwapua kwa kupitisha kwa mtoto wa dada yake. Kuwa na akili ndugu. Halafu umaskini siyo sifa ni laana.
 
Back
Top Bottom