Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.

Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Kuongoza wajinga ni rahisi sana
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Ungependa kuona meza ikiwa tupu ndio uone ni ofisi ya kifahari, acheni ujinga watanzania.
 
Mfanyakazi yeyote aliyepewa ofisi awe Rais, Makamu, Waziri Mkuu na huko chini hadi Mtendaji wa Kata kama Meza yake itajaa majalada mpaka chumbani, mfanyakazi huyo ni mvivu kwani majalada hayo yana matatizo ya wananchi na miradi ya Serikali. Mfanyakazi anayejua kazi yake kwanza atasafisha Meza yake kwa kupitia majalada yote na kushughulikia yaliyomo ikiwa ni pamoja na kuteua au kutengua watuhumiwa ndo aende kukagua Miradi au kuwaona wananchi. Wafanyakazi hawa hawashiki jembe wala sululu wala nyundo wala ufagio wao ni kuteua wafanyakazi wa kutatua matatizo ya wanyonge na kutengua wasiyofanya hivyo, pia wao ni kuajiri wa kutatua matatizo na kero za wananchi na kutumbua wavivu wasiyofanya hivyo. Hata wakiwa na hamu ya jogoo aliyenona wa shilingi milioni moja au mhingi wa kuchoma au mhogo wao ni kuandika tu kwenye jalada vyote vitakuja ikiwa na maana hawana lazima wenyewe kuvifuata viliko.
meza ya rais si sawa na meza ya meneja wa bar unayokunywa.

hakuna siku anafanikiwa kuyafuta hayo mafile,yanaingia hapo kila baada ya saa kadhaa,tena yanahitaji upembuzi makini.

kama hujui rais huwa analazimishwa mpaka kwenda kulala,si huyu tu hata jk.
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Kuna kosa nimeliona hapo mbona hakuna picha ya Rais wa Tanzania
 
Hii inaonesha JPM ana IQ kubwa sana. Ndiyo maana sasa hivi wenye magari wanamshukuru kwamba alifanya uamuzi makini na imeleta critical transformation kwenye idara ya usafirishaji.
Na wangeendelea kuleta za kuleta, angeweza kuweka hiyo nyingine hakuwa na mchezo, lol!
 
Napenda Rais ambaye hapangiwi kila kitu wala kutishwa na upepo wa Mabeberu. Eti Rais aahauriwe jambo zuri na watendaji, halafu ashindwe kuchukua hatua kisa "Wale jamaa wamegoma, sasa tufanyeje?" Definition ya presidency ni "nothing is literally impossible to achieve ni my country."
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282

Ana print bila computer?!!
 
Acha uongo na uigizaji...

Hata ofisi ya DED huwezi kukuta mafaili yamemfunika mwenye ofisi hadi akawa haonekani kama vile yuko jalalani...
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Tunachojua Ikulu ya chamwino bado iko kwenye ujenzi.Hayo uliyoandika unaonyesha umeandika kishabiki zaidi
 
Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.

Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Perfect [emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Onyesha na msafara wake wa magari ! Halafu ni shule gani ya msingi uisemayo ya serikali mwalimu anakuwa na printer kama hiyo mezani?
 
Ila watanzania tupo emotional yaani ni kazi rahisi sana kutuongoza maana unaweza kuwa unakaa kwenye apartment ya maana, unakula bata sana tuu na unaendesha gari yenye thamani ya vyumba vya madarasa.

Ila siku moja ukiamua unaenda na camera zako nyingiiii masoko ya mtaani huku zikikupiga picha kuwa unanunua muhindi wa 500 na umevaa jezi za kawaida huku ukipiga story na wale wauzaji. Automatically unapata loyalty ya watu wengi wa kipato cha chini na wanakuona mmoja wao
Mkuu wengi wetu hatuna elimu ndo maana nchi yetu inaongozwa kisanii sana,wewe toka lini rais kuongea au kupigia simu na rais mwenzake ikawa issue? Kwamba mimi nione ni issue kubwa kupigiwa simu na majinga mwenzagu?
 
Huo umodeni wako ndio umetutoroshea madini kwenda kwa jamaa zako miaka yote. Tunamhitaji Rais local uko sahihi. Have you ever seen him kwearing the pipa going abroad?
mkuu makinikia hadi kesho yanasafirishwa,lakini pia kuna kiwanja chochote cha ndege katika Mgodi wowote kilichofungwa?
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA...
Does this indicate efficiency and effectiveness, especially in our current era of technology? Is it a showdown?
 
Back
Top Bottom