Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Ungetueleza kwanza Rais ana ofisi ngapi hapo Ikulu?

Mimi binafsi hata nyumbani kwangu nina ofisi na hapa sasa hivi nipo kwenye ofisi ya nyumbani kwangu.

Kuna umbumbumbu wa uelewa juu ya ya hili.

Kama mtu ana sebule nne anashindwa kuwa na ofisi ya nyumbani anakolala?

Sifa za kijinga, nitampongeza akianza kutembelea bajaj au Land cruiser Prado Tx.
Una uhakika?
 
Uchafu is a relative concept; I sorry sana kwamba Western propaganda zimekughilimu ubongo wako mzuri
Kuna siku nyingine tena aliwahi kunichekesha sana, kipindi akiwa Waziri wa Ujenzi. Kipindi hicho ilikuwa kila nikimuona kwenye TV, lazima najua kuna kichekesho atatoa, kwa hiyo nilikuwa najiandaa kucheka kila nikimuona kwenye screen.
Ni kwamba akawa amebuni hizi namba mpya tunazotumia sasa za mfumo wa T.000 XXX kutoka ule wa zamani wa TZA, TZB, ... Sasa ikatokea sijui kuna watu gani walianzisha mjadala juu ya namba hizi mpya, kama kuzi-criticise vile. Akawajibu akasema "hawa watu sisi hawawezi kutupangia namna ambayo namba zetu za magari zinatakiwa kuwa, TUNGEWEZA TUKAWEKA HATA ALAMA YA KIPEPEO". Siku hiyo nilcheka mno, hilo neno alama ya kipepeo sijui alilitoa wapi!
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatujasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Ha Ha Ha Ha!
 
Wewe unacho taka kuongea hapa ni ofisi tibu tibu, mafaili yameangalia mengine juu, chini mengine yananesanesa kutaka kumwagika, yapeperuka yaani ni shida tu!
 
Suala la Hadhi ya Rais na kwa mpangilio huo huduma zinazoambatana na Urais ni suala la Kikatiba na si suala la kupenda au kutopenda..
Lilianza tangu ilipowekwa Katiba ya Jamhuri ('Republican Constitution', 1962) ambayo iliunganisha hadhi ya Kifalme, hadhi ya ki-Gavana na hadhi ya Waziri Mkuu Mtendaji(ya wakati huo).
Hivyo Mnikulu anapaswa kuhakikisha Makazi na Ofisi za Rais zinakuwa na hadhi ya kipekee wakati wote..
Hivyo kuanzia Mnikulu mpaka Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu aliyeruhusu hiyo 'clip' ikaenda hewani ilibidi wawe matatani kwa kuchezea hadhi ya Rais..
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Mfanyakazi yeyote aliyepewa ofisi awe Rais, Makamu, Waziri Mkuu na huko chini hadi Mtendaji wa Kata kama Meza yake itajaa majalada mpaka chumbani, mfanyakazi huyo ni mvivu kwani majalada hayo yana matatizo ya wananchi na miradi ya Serikali. Mfanyakazi anayejua kazi yake kwanza atasafisha Meza yake kwa kupitia majalada yote na kushughulikia yaliyomo ikiwa ni pamoja na kuteua au kutengua watuhumiwa ndo aende kukagua Miradi au kuwaona wananchi. Wafanyakazi hawa hawashiki jembe wala sululu wala nyundo wala ufagio wao ni kuteua wafanyakazi wa kutatua matatizo ya wanyonge na kutengua wasiyofanya hivyo, pia wao ni kuajiri wa kutatua matatizo na kero za wananchi na kutumbua wavivu wasiyofanya hivyo. Hata wakiwa na hamu ya jogoo aliyenona wa shilingi milioni moja au mhingi wa kuchoma au mhogo wao ni kuandika tu kwenye jalada vyote vitakuja ikiwa na maana hawana lazima wenyewe kuvifuata viliko.
 
We ni mwehu. Anakurubuni ili aendelee kupiga hela kwa kuwahadaa watanzania eti ni mnyonge. Mbona tril 1.5 alizoiba hakukwambia amezipeleka wapi! Mbona anawaibia watu kwenye account zao na kuzikwapua kwa kupitisha kwa mtoto wa dada yake. Kuwa na akili ndugu. Halafu umaskini siyo sifa ni laana.
Tangu Mr Mzungu amewaimbisha wimbo-gongwe wa trilioni 1.5 basi utimamu wenu wa akili umetinyukia kusikojulikana.
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Mtu mwenyewe mwanakijiji sasa utarajie kitu tofauti?
 
Kuna siku nyingine tena aliwahi kunichekesha sana, kipindi akiwa Waziri wa Ujenzi. Kipindi hicho ilikuwa kila nikimuona kwenye TV, lazima najua kuna kichekesho atatoa, kwa hiyo nilikuwa najiandaa kucheka kila nikimuona kwenye screen.
Ni kwamba akawa amebuni hizi namba mpya tunazotumia sasa za mfumo wa T.000 XXX kutoka ule wa zamani wa TZA, TZB, ... Sasa ikatokea sijui kuna watu gani walianzisha mjadala juu ya namba hizi mpya, kama kuzi-criticise vile. Akawajibu akasema "hawa watu sisi hawawezi kutupangia namna ambayo namba zetu za magari zinatakiwa kuwa, TUNGEWEZA TUKAWEKA HATA ALAMA YA KIPEPEO". Siku hiyo nilcheka mno, hilo neno alama ya kipepeo sijui alilitoa wapi!
Hii inaonesha JPM ana IQ kubwa sana. Ndiyo maana sasa hivi wenye magari wanamshukuru kwamba alifanya uamuzi makini na imeleta critical transformation kwenye idara ya usafirishaji.
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Ofisi inahitaji 5S (five S)
 
Hana complications nasema uongo jamaniiii
 
Tembea uone.......nenda hapo nyumbani kwetu chato🤔🤔
 
Ninachokijua makabrasha ni njia moja ya uharibifu wa mazingira!
Ungelijua hivyo kelele ungezielekeza kwa wakata-misitu huko Mufindi!?? Useless point and total nonesensical verbiage. Kwa mtaji huu Sisiemu iendelee tu kutawala mazima.
 
Back
Top Bottom