Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Hii ndiyo ofisi ya Rais wa wanyonge

Kama ni kweli hapa Jiwe yupo ofisini, ni vyema pia tukaamini kwa nini kama nchi hatusongi. Katika ulimwengu wa kidigitali kama huu tuliopo bado kiongozi mkuu wa nchi unamjazia mafaili lundo namna hiyo? Kwamba hanan wasaidizi wa kuyasoma kisha wao kwenda kum brief? Kila faili alisome yeye. Poor my dear donor country
Sio kila taarifa zinawekwa kwenye mfumo wa digitali mkuu mengine ni Siri yaan utayakuta kwenye (hard copy ya red book tu)
 
Kukosa exposure hata ofisi ya Mangi iko smart kuliko huo uchafu, sipati picha kitanda chake kikoje, mafaili hadi kitandani.
Unaweza kuta hayo makabrasha yote hapo yamejaa tu urefu wa mabarabara🤣🤣
Rais wa mabarabara.
 
Samahani kwa kuwa a bit irrelevant, hivi hili neno "nachelea" maana yake nini hasa na linatumikaje?
Nachelea - Kusita
Nachelea - naogopa
Nachelea - Naacha/ tamanio la kutotaka

Mfano kuna methali....

Mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe...

Manake asiyependa mtoto wake alie (kupingwa, kuonya, kusita mtoto wake alizwe kwa mafundsho, kalipio, onyo) hulia mwenyewe manake mtoto umuaharibikia
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Propaganda za uongo nitakuwa wa mwisho kuamini hiyo ni ofisi ya rais.
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatunasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Itakuwa kayapangua mwenyewe kuwazuga yuko busy.
 
Mimi ninachojiuliza ni hiki, hivi jana ndio mara yake ya kwanza kupigiwa simu akiwa ofisini?
Ndio ushangae hapo sasa. Labda wanataka ionekane Wachina ndio wametushobokea wakati inajulikana zile porojo za kilevi kuwa miradi inaendeshwa kwa pesa za ndani zimekata pumzi. Kwa hiyo kama mfa maji wanatafuta tawi la kushika kwa wazalendo uchwara wenzao.
 
Hiyo meza unajua bei yake wewe?

Hiyo simu unajua bei yake wewe.

Hiyo printer unajua bei yake wewe?

Hatujasema Rais awe na ofisi ya gharama saaana hapana, awe na ofisi ya kawaida tuu ina iwe imepangwa vizuri.

Kweli hiyo ni arrangement ya ofisi ya Rais? Hivi waloajiriwa kwa ajili ya kumsaidia kazi Rais wanalipwaje mishahara kwa kumuachia Rais afanye mpaka kazi za kupanga ofisi?

Rais wetu anawaza mipango mikubwa mikubwa sio aanze kujisumbua kwa kupanga panga vimeza kazi ambayo hata mlinzi wake anaweza kuifanya.
Umeongea point tupu, kwanza siamini kama ofisi ya rais inaweza kuwa na mpangilio wa mafile wa hivo
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
KWAHALI INAVYOENDELEA KUNA SIKU RAIS ATAKUNYA OFISINI NA MTAKUJA HAPA KUANZISHA UZI WA KUMSIFIA KUWA NI RAIS WA KWANZA KUNYA OFISINI
 
Naona wahandishi wa Raisi washtakiwe hakukuwa na umuhimu kumpiga picha Raisi akiwa kavaa informal hivo, office iko disorganized, hata hyo kuongea na Raisi Cha china haikuwa habari, hata za kwenda kanisani hayo mambo binafsi hayahitaji press release.
Unadhani waandishi wangeweza ku release pic kwa utashi wao!?!!Thubutuu!
 
Mabeberu wa kichina wabaya kuliko mabeberu halisi. Mchina ukukamua live bila ganzi tofauti na wazungu wao ukukamua kwa ganzi.
 
Habari za asubuhi wanajamvi.

Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo inayotumiwa na Rais wa Tanzania IKULU CHAMWINO, DODOMA.

Niseme hapa kuwa kiukweli Rais wetu ni Rais wa Wanyonge kwani Ofisi yake ni kama hizi za wakuu na walimu wakuu wa Shule za Msingi Zilizoko Tanzania.

Nachelea kusema kuwa hii inaonesha ni namna gani Rais wetu sio wa vitu vikubwa na ni Rais wa Wanyonge.

Hongera Rais Wetu.

View attachment 1651282
Ccm kwa drama mnapenda Sana,
Danganyeni walumumba wenzenu maana mnafanana akili
 
Mimi ninachojiuliza ni hiki, hivi jana ndio mara yake ya kwanza kupigiwa simu akiwa ofisini?
Halafu hivi kuna ushahidi gami kwamba alikuwa anaongea na rais wa china ??, maana kwa jinsi walivyopoteza muelekeo sasa hivi wanaweza kusema lolote ili kudraw attention ya walala hoi wa nchi hii, ukute alikuwa anaongea na mpwa wake kutoka kule chattle na mafaili hayo ya ..
 
Katika karne ya 21 kwenye nchi maskini kama Tanzania, unazungumzia eti kiongozi kusifiwa tena na Wazungu??? Sisi hatutaki kiongozi wa sifa za kitoto --- tunataka huduma za mawasiliano, barabara, maji, umeme, afya, shule na SGR.

Niongeze volume, au???
Wewe unajua kusoma kwa ufahamu?

Au tukusomee na kukufafanulia?

Mzungu ni nani? Anaanzia wapi na kuishia wapi? Unajuaje huyu mzungu na huyu si mzungu?

Kama kusifiwa na watu wa nje si muhimu, muulize rais wako kwa nini kapiga picha anaongea nao kwenye simu na kuachia zisambae mitandaoni?

Kujamba ajambe Magufuli, sisi tukisema kajamba lawama utupe sisi?

Kwa sababu tumesema kajamba?
 
Acha kutudanganya ina maana Rais anafanya kazi stationery?? Yaani ana copier tu bila compyuta??
Siamini hii ni Photoshop. Ofisi ya Rais haiwezi kuwa na mpangilio wa hivyo. Photocopy na Printer vinafanya nini mezani hapo? Computer iko wapi? Halafu amevaa Shati simple hivyo Ofisini? Noooo Siamini. Halafu anatumia Simu ya ya 80's!!!
 
Wanatupanga hawa MATAGA
 
Back
Top Bottom