Mhhhhhhhhhhhh! ambo hayo si rahisi kama unavozania!
Unakuta mtu kakuingia rohoni sema ndo kawahiwa na mwenzio unafanyaje! Ukubali kumpa ushindi wa mezani uidhulumu nafsi au mbanane hapo hapo!
Afterall huondoki nayo, mambo yanakuwa kutesa kwa zamu!
KIPENDACHO ROHO HULA NYAMA MBICHI!!!!!!!!!
Kuna sababu nyingi sana kwenye jambo hilo,labda ulikua uoe lakini haikua rizki yako na bado mnapendana,au michezo yake inakufukisha ndipo kwahiyo moyo hausemezeki,after all Ujanja kupata kuwahi hakuna maana....