Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

huyo kesha sababisha vijana wetu kadhaaa kunyea debe na kunyongwq huko china.
 
kazi yake ni kuitikia NDIYOOOOOOOOOOOOOO kwa hiyo hana haja na kuwa na CV kubwa kihivho maana hiyo ndio na kupiga piga makofi na meza havihitaji training yeyote
 
Hapo ESAMI napajua ni Njiro,,sasa kuna Certificate for 3yrs?

Hii Cv ni ya kuungunga kama super glue duh! Nimeaminai kuwa ccm ni janga la kitaifa kama mbunge kama Azan ana cv kama hii kwanza inaboa hata kuisoma!
 
Jiulize tangu 1979 hadi 2001 alikuwa anafanya nini?
Inaonekana 1985 alikuwa director wa kampuni ya kimachinga (Hajaitaja)

1.Alikuwa anauza unga
2. kampuni za wauza unga huwa hazitajwi
 
Watu kama hawa wakiwa bungeni watachangia kama ifuatavyo:
Asante sana mh. spika, kabla ya yote napenda kutoa shukurani zangu za dhati kabisa kwa Mh.W/M, mtukufu Rahisi, wabunge wote wa chama changu, Mwisho shukurani ziende kwa mke wangu, watoto wangu wa kike na wa kiume mmoja anaitwa Mh. Jingine yuke pale Juu hapa katika ukumbi wa Bunge

Baada ya kusema hayo hoja ya waziri ina mapungufu 1,2,3,3..... naunga mkono Hoja 100%.

Hahahahahah...kweli kabisa mkuu.
 
Huyu mtu ni Zingu muda mreeeeefu, na kuna Mama fulani alikuwa mropokaji sana bungeni naye pia ni chama moja.
 
Acheni Kejeli. Fursa za vyuo zilikiwa chache. Wewe umebahatika. Hata ndugu zako wengi hawakujaliwa kupata hiyo fursa. Kumbuka kodi ya baba yake Azzan zililipia gharama za Chuo ulipokuwa unatafuta degree zako. Acheni Dharau.

Chuo gani hata elimu ya Secondary ameipata gumbalu
 
what goes around comes around,lazima ilipwe tu hata kwa wajukuu zao
time will tell

Jibu limejibirika mama Azan ni drug dealer analindwa na serikali angekuwa Unguja sheria ingefuatwa.
 
Huko bungeni ni mjumbe wa kamati gani! hayupo kwenye kamati ya bajeti kuu huyu?
 
Nacheka sana,Nafurahi sana.Vijana wa Tz hawadanganyiki ccm inawabana tu wangeachiliwa huru hata ndege mgeunda.
 
Hajachelewa, bado anaweza kujiendeleza lakini! Sawa alikosa nafasi zamani hizo, sasa je? bado vyuo vichache, hana uwezo wa kifedha bado n.k n.k? Na je based on that tunaweza tu tukamchukua illiterate yeyote kwenda kuchukua such nafasi ya uongozi kwenye dunia ya leo ambapo the pace of development is this fast? Kuna mijadala ambayo mbali na busara ya wabunge knowledge pia inahitajika, hapa simaaanishi lazma awe na degree ya every field ila uelewa ambao kwa kiasi kikubwa unachangiwa na elimu.
 
tunataka cv ya professor maji marefu sasa hivi

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][TABLE="class: items, width: 767"]
[TR="bgcolor: #ECFBD4"]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]COMPANY/ORGANIZATION[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]POSITION[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]EXPIRIENCE TYPE:[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]FROM[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]TO[/TH]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Member of NEC[/TD]
[TD]POLITICAL[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Regional Economic Secretary[/TD]
[TD]POLITICAL[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM[/TD]
[TD]Economic Secretary, Korogwe rural[/TD]
[TD]POLITICAL[/TD]
[TD]2007

EDUCATION​
[TABLE="class: items, width: 767"]
[TR="bgcolor: #ECFBD4"]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]LOCATION[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]COURSE/DEGREE/AWARD[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]START DATE[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]END DATE[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]LEVEL[/TH]
[/TR]
[TR="class: odd"]
[TD]Kwamndolwa Primary School[/TD]
[TD]Primary Education[/TD]
[TD]1970[/TD]
[TD]1976[/TD]
[TD]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: detail-view, width: 228"]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TH]First Name[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]Stephen[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TH="bgcolor: #E5F1F4"]Middle Name[/TH]
[TD]Hilary[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TH]Last Name[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]Ngonyani[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TH="bgcolor: #E5F1F4"]Member Type[/TH]
[TD]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TH]Political Party[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TH="bgcolor: #E5F1F4"]Constituency[/TH]
[TD]Korogwe Vijijini[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TH]Postal Address[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]P.O. Box 60, Korogwe, Tanga[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TH="bgcolor: #E5F1F4"]Office Phone[/TH]
[TD]+255 784 459090/+255 712 006666[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TH]Mobile:[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"][/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TH="bgcolor: #E5F1F4"]Extension[/TH]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TH]Office Fax[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"][/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TH="bgcolor: #E5F1F4"]Office Email[/TH]
[TD]sngonyani@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TH]Start Date[/TH]
[TD="bgcolor: #F8F8F8"]8 November 2010[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TH="bgcolor: #E5F1F4"]End Date[/TH]
[TD]8 November 2015[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[TD][TABLE="width: 200"]
[TR]
[TD]
1738.jpg


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom