Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

Hakika ni aibu kwa eneo km kinondoni kuwa na mwakilishi mwenye elimu duni na yakuokotaokota,ktk hili atakua bubu kuhofia uwezo wke wa kujenga hoja bungeni,lazima aburuzwe na chama,kwa picha hii ndivyo hata mabaraza ya katiba yalivyo.NINI MATOKEO YAKE
 
Sijui ni Bange Za Waandishi wa Bunge typing au Ndo mafinyango yenyewe, cv imejaa uharo Kihabari.. Yaani mweshimiwa amesoma sekondari mwaka mmoja??
 
Azzan sasa yupo kwenye wakati mgumu, sijui sasa ndo anapewa malipo yake maana kwenye kura za maoni za CCM 2010 Shy Rose Bhanji alilalamika sana kuhusu huyu alivyofanya hadi kushinda kura za maoni.
 
Bado siamin kama elimu ya mtu ndo inafanya wananchi kwenye jimbo wawe na maendeleo!,tujiulize kuna wabunge wangapi wenye phd na hata cv zilizonyooka lakin wananchi wao ni maskin wa kutupwa?,mimi naona hoja isiwe cv,hoja iwe ameshiriki vp kuwaletea wananchi wake maendeleo,nadhani hilo ndo jambo la msingi zaidi!
 
Dar es Salaam - Football Association of Tanzania (FAT)Chairman2004To date wrong kabisa hii
 
Kweli hiyo ni CV! Certificate ya ESAMI miaka 3 wapi na wapi!

Jamani, kweli hapa kazi ipo tena kubwa sana. Hawa watu unajua hawana sifa ndiyo maana wanafanya fujo tu ili waende bungeni kulinda bangi zao. Kiongozi gani wa hvi jamani? Aisee!!!!!!!!!!!!!!. Kweli hii nchi inahitaji nguvu ya ziada. Katiba mpya iwe na namna ya kuaninisha sifa za kwa mtu kugombea ubung. Sifa hizo zitoe mwelekeo wa uwezo ama ufanisi wa mgombea ili tupate watu wanaoweza kuratibu mipango yetu vizuri.

Haya mabwia unga na maliberali haya ni zigo kubwa kwa nchi. Kwa design hii, nchi hii haiwezi kuendelea hata miaka elfu ipite.
 
Huyu ndiye mwakilishi wa kinondoni,anawawakilisha wasomi na wasio wasomi wa kinondoni.
Kweli nakubaliana na mtu aliyeanzisha thread kuwa uwezekano ni mkubwa wanadasalama wanachelesha mapinduzi /ukombozi wa nchi
 
Member of Parliament CV

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1346.jpg
First Name: Idd
Middle Name:Mohamed
Last Name:Azzan
Member Type:Constituency Member
Constituent:Kinondoni
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 22227, Dar es Salaam
Office Phone: +255 713 222201/+255 754 000349
Ext.:
Office Fax: +255 22 2170082
Office E-mail: iazzan@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 8 July 1965
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Magomeni Primary SchoolPrimary Education19771979PRIMARY
University Computer CentreCertificate in Computer Course20012001CERTIFICATE
Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)Certificate20022004CERTIFICATE
Dar City CollegeDiploma (Management)20042005DIPLOMA
Institute of Adult Education - Dar es SalaamSecondary Education20022003SECONDARY
Local Government Training Institute - Hombolo, DodomaCertificate20032004CERTIFICATE
Vuluni Primary School, MomboPrimary Education19731976PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Kinondoni Constituency20052015
Dar es Salaam - Football Association of Tanzania (FAT)Chairman2004To date
Twiga Sports ClubDirector2001To date
Football Association of Tanzania (FAT)- (Kinondoni)Chairman20002004
Kinondoni Municipal CouncilCouncilor20002005
Simba Sports Club -Dar es SalaamManager19982001
Private CompanyManaging Director1990To date
Private CompanyDirector19852005
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi - CCMChairman of Parents Team20042007
Chama Cha Mapinduzi - CCMMember of National Committee20032008
Chama Cha Mapinduzi - CCMWard Councilor20002005
Chama Cha Mapinduzi - CCMYouth Commander (UVCCM-Magomeni Ward)19962000
Chama Cha Mapinduzi - CCMYouth Commander (UVCCM)19921996


Source:Parliament of Tanzania


Akianani vile hii ndio ccm!
Chezeya SHULE, jamaa kaunga unga wewe, gundi tupu!
 
watoto wa wakulima tunajaza ma degree watu wanabutua na vicertificate tena vya vyuo vya kuunga unga
 
Bunge letu lina mambo yote,vilaza,vipaji maalum,wauza sembe,wachungaji,alhaj,waimba taarabu,hip hop,maprofesa,maajuza,vibabu,wasagaji,mashoga,majangili,wezi wa pesa za umma,midondo,wambea,wataalam wa matusi,sokwe,wanafki,walalavi,wabishi,mabishoo,masista duuu,waganga,wala rushwa,dj,watoka povu, etc

Kweli Tz ni nchi ya maajabu duniani haiwezekani wanafunzi wanakaa chini wakati tunauza magogo nje!! kwa wabunge wengi tulionao wanaweza ona hilo!

Tunahitaji mabadiliko sana kuanzia ngazi ya shina
 
Mbona Primary school kasoma mara mbili? Vuluni iko Mombo kweli au Soni? Mmh ngoja nikae kimya
 
Huyu Mheshimiwa namuona sana Benki. Tupo wote katika Tawi la CRDB Holland House. Nikimwona nitamwambia anikopeshe hela. Halafu C V yake inaonyesha kwamba huyu ni intellectual .
 
Akianani vile hii ndio ccm!



VIPI YA HUYU




CV ya mchungaji Msigwa ni hii hapa;

School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
All Africa Bible College, South AfricaB.Ministry19992004GRADUATE
Sangu Secondary SchoolO-Level Education19831986SECONDARY
Magoye Primary SchoolPrimary Education19761982PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFromTo
The Parliament of TanzaniaMember - Iringa Urban Constituency20102015
Vineyard ChurchNational Coordinator20052010

HII NDIO CDM!
 

VIPI YA HUYU




CV ya mchungaji Msigwa ni hii hapa;

School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
All Africa Bible College, South Africa
B.Ministry
1999
2004
GRADUATE
Sangu Secondary School
O-Level Education
1983
1986
SECONDARY
Magoye Primary School
Primary Education
1976
1982
PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From
To
The Parliament of Tanzania
Member - Iringa Urban Constituency
2010
2015
Vineyard Church
National Coordinator
2005
2010

HII NDIO CDM!

At least hajadanganya au kujiongezea sifa zisizo zake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom