Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

Acheni Kejeli. Fursa za vyuo zilikiwa chache. Wewe umebahatika. Hata ndugu zako wengi hawakujaliwa kupata hiyo fursa. Kumbuka kodi ya baba yake Azzan zililipia gharama za Chuo ulipokuwa unatafuta degree zako. Acheni Dharau.

Ya Zungu ni hii hapa kaka/dada!


EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Tambaza Secondary SchoolOrdinary Level Education19681969SECONDARY
Tanzania/NCCProcurement Course2002DIPLOMA
CairoDiplomatic Studies2007DIPLOMA
Military College of AviationAviation Studies19701973ADV DIPLOMA
Sound Air CanadaAviation Studies19791980ADV DIPLOMA
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
Public Procuring Regulator AuthorityBoard Director2007
The Parliament of TanzaniaMember - Ilala Constituency20052015
Ilalla MunicipalDeputy Mayor20032005
Ilala MunicipalCouncilor20012002
UAEMaterial Manager19831993
Military College of AviationPrincipal Aircraft Maintanance Engineer19701982
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Commonwealth Parliamentary Association Tanzania BrChairman2011
City Council Investment CommitteeChairman2007
Foreign,Defence Home Security CommitteeVice Chairman20072011
 
na uamini pia ccm ni dhaifu
ndio maana wakamwona dhaifu anafaaa
sikujua kama iddi na lusinde wako sawa!!! mkuu naomba ya zungu mutoto ya ilala!!
Yeah ni kweli CCM ni dhaifu na Rais wake ni Dhaifu ndio maana anawachagua wenye usawa nae
Inatakiwa waweke katiba ili mtu awe mbunge awe na Degree walau itasaidia kuleta mabadiliko na kupanua fikra za watu
 
Afadhali hii ya Zungu! sielewi jamaa bado ni Kiongozi wa FAT Kinondoni, hivi bado tuna FAT kweli?

Mimi nakwambia @Kilembwe mambo ya Idd Azzan ya kuungaunga maana bado ni kiongozi wa shirikisho TFF lakini yeye hajui bali anajua FAT ambayo ilikufa long time! Jamaa desa kweli!
 
Afadhali hii ya Zungu! sielewi jamaa bado ni Kiongozi wa FAT Kinondoni, hivi bado tuna FAT kweli?



CV ya zungu ina ka uafadhali ila sidhani kama ana tofauti saana na yule injinia wa wayaring!!!
hawa ccm sijui huwa wanayweshwa nini maana wote akili zao zinalinga na kufanana kama mayai!!
hakuna anayeona mbele, hakuna mwenye ushauri wa kufaa, hawawezi hata kusoma alama za nyakati hawa....
 
CV ya zungu ina ka uafadhali ila sidhani kama ana tofauti saana na yule injinia wa wayaring!!!
hawa ccm sijui huwa wanayweshwa nini maana wote akili zao zinalinga na kufanana kama mayai!!
hakuna anayeona mbele, hakuna mwenye ushauri wa kufaa, hawawezi hata kusoma alama za nyakati hawa....
Hahaaaa
Mbona haina utofauti sana?
Yan inatakiwa pawepo na watu wenye elimu za uhalali na sio za kungaunga kama hao!Lol
 
Mtaji wa CCM ni wajinga walio wengi,na wajinga wenyewe sasa hivi wameshaisha,sijui watafanyaje

Acha utani; wapo wengi tena Dar. Inakuingia akilini jiji linalotegemewa kuchagua mbunge wenye CV kabila hiyo.
Kuna mtu aliwahi kuandika kwenye gazeti kuwa Dar imelogwa na CCM wakati vijijini wanakoamiwa kuwa ndo waliko wasio na elimu wanachagua mabadiliko Dar wanaendeles na chagua CCM
Tafakari
 
Na hapa ndipo inatakiwa kuset elimu ya wakombea wa kila level katika katiba yetu.
Tusiruhusu kuongozwa na watu ambao walifanya uvivu wa kwenda shule wakati opportunity zipo hadi leo.
Kama mtu hataki kusoma, basi ajiweke mbali na uongozi na abaki kupiga kelele kwenye mikutano na makongamano guyz!
 
Acha utani; wapo wengi tena Dar. Inakuingia akilini jiji linalotegemewa kuchagua mbunge wenye CV kabila hiyo.
Kuna mtu aliwahi kuandika kwenye gazeti kuwa Dar imelogwa na CCM wakati vijijini wanakoamiwa kuwa ndo waliko wasio na elimu wanachagua mabadiliko Dar wanaendeles na chagua CCM
Tafakari
2010 siyo sawa na 2015 tunayoenda
 
Acheni Kejeli. Fursa za vyuo zilikiwa chache. Wewe umebahatika. Hata ndugu zako wengi hawakujaliwa kupata hiyo fursa. Kumbuka kodi ya baba yake Azzan zililipia gharama za Chuo ulipokuwa unatafuta degree zako. Acheni Dharau.
Mtu aliyezaliwa 1965 akisema fursa ya vyuo ilikuwa haipo ni kwa sababu alikuwa kilaza tena hakukuwa na ufisadi na kusoma ilikuwa bureee bwerere tena yeye akiwa palepale jikoni enzi za analogue alikuwa na advantage. Lakini sasa yaonekana alikuwa mtoto wa kijiweni kupata stori za Yanga na Simba hivyo book haikuwa saana. Lakini jihadharini watu wa namna hiyo huwa pia ni TISS maana kipindi wanapotea wanaenda mazoezi wakirudi wanaibukia kwenye makampuni binafsi na mipira kama Azan
 
huyu jamaa nakumbuka alishawahi kujibu tuhuma kwamba alikuwa anajihusisha na madawa ya kulevya ambapo yeye alikanusha na kujibu kwamba mali alizopata alizipata kupitia kazi ya kuendesha tax bubu hapa dsm. mbona kwenye cv yake kazi hii ya udereva taxi bubu haipo?
 
NyinyiEM wengi ni vilaza wa Darasa la saba na form iv au kama ni prof basi ni wale aliwazungumzia Rev Peter(mb iringa)
 
Kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za CCM, sifa ya elimu anayotakiwa kuwa nayo mbunge ni Elimu ya Darasa la Saba. Nadhani mjadala ukielekea huko utakuwa na tija zaidi ili kama kuna haja ya kufanya marekebisho basi hoja zijengwe in that context. Vinginevyo kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za CCM, Mheshimiwa Azzan ni mbunge halali kwani Per kanuni za chama cha mapinduzi as of today, mgombea akiwa na kiwango cha elimu cha form four, form six, certificate, diploma, degree, n.k, hiyo inachukuliwa kama ni ziada tu na haipewi uzito na vikao vya kupitisha/kuchuja wagombea. Suala la elimu kwa sasa ni suala la wapiga kura mmoja kwa mmoja kuwa na uelewa tu kwamba je, itumike kama kigezo au lah.

Na mara nyingi ukiwa mgombea mwenye elimu kubwa, ni kawaida sana kujengewa fitina kwamba umechakachua au kampeni zako haziwatendei haki wagombea wasio na elimu, au kwamba peleka elimu yako kwingine ukajenge taifa, sio kwenye nafasi ya ubunge kwani mujibu wa kanuni ya CCM, darasa la saba linatosha, na wananchi hawana haja ya kuzingatia kiwango cha elimu kama ni kigezo cha kukuchagua kama mgombea/mbunge. Nadhani mjadala ungeelekezwa zaidi juu ya kanuni hii badala ya kumjadili Mh Azzan ambae katika mazingira haya, hana hatia na ni mwakilishi halali wa wananchi wa jimbo la Kinondoni.

hakuna mtu hata mmoja anae question uhalali wa ubunge wake ila watu wanacho question ni mtu wa kiwango kidogo cha elimu kama hicho kuweza kutunga sheria na kushauri serikali kuhusiana na mabadiliko ya science na technologia ambayo ndiyo kiini au kiungo kikubwa cha maendeleo ya dunia ya sasa?? je anawezaje kufanya uchambuzi yakinifu wa issues mbali mbali zinazoletwa bungeni hasa katika mambo ya uchumi na sheria kama hawezi ku pass hata crash course ya introduction to economics.
 
Duh jamaa kasoma kinoma anafaa kuwaongoza wana KINO na sidhani kama kuna mwana CCM mwenye ILIMU kama yakwake.jamaa ninoma!!!!!!!!!!!!!!!!
kudadeek, hivi KINO si ndio kuna sinza kwa wajanja, tandale kwa wapiga ndole, m'nyamala kwa mateja, manzese uwanja wa fisi, si ndio kuna kona baa na kwingineko? asalaleeeeee lazma aonyeshe yeye ni mwana KINO kwa wazee wa mujini!
 
CV ya kuungaunga unga, lakini sijaona ishu ya SAIGON... Nilitegemea kuona amejiunga Saigon tokea mwaka gani...
 
Back
Top Bottom