Hii ndiyo CV ya Idd Azzan

Jimbo la ubunge la KINONDONI ndio jimbo linalokaliwa na wasomi wengi kuliko jimbo jingine Tanzania. Mbunge wake ni kati ya wale wawili wasio na elimu Tz yaani Maji machafu na Azam. Hii inatupa picha gani ? wasomi mnatuaibisha.
 
kuna nyumba yake Millioni 200 hivi pale Magomeni Makanya karibu na kwa Bibi Nyau uswaziii kaibomoa sasa hivi kapandisha nyumba yenye thamani Billion 1 hivi. hiyo ni 1.
 
Jimbo la ubunge la KINONDONI ndio jimbo linalokaliwa na wasomi wengi kuliko jimbo jingine Tanzania. Mbunge wake ni kati ya wale wawili wasio na elimu Tz yaani Maji machafu na Azam. Hii inatupa picha gani ? wasomi mnatuaibisha.

zamani sawa Wasomi wachache wa jimbo la kinondoni wanakaa MAKUMBUSHO KIJITONYAMA NA MWENGE. baaaaaasiiii

ILA WAPIGA KURA WENGI WAPO KINONDONI TANDALE M/NYAMALA NA MAGOMENI.
 
Kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za CCM, sifa ya elimu anayotakiwa kuwa nayo mbunge ni Elimu ya Darasa la Saba. Nadhani mjadala ukielekea huko utakuwa na tija zaidi ili kama kuna haja ya kufanya marekebisho basi hoja zijengwe in that context. Vinginevyo kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za CCM, Mheshimiwa Azzan ni mbunge halali kwani Per kanuni za chama cha mapinduzi as of today, mgombea akiwa na kiwango cha elimu cha form four, form six, certificate, diploma, degree, n.k, hiyo inachukuliwa kama ni ziada tu na haipewi uzito na vikao vya kupitisha/kuchuja wagombea. Suala la elimu kwa sasa ni suala la wapiga kura mmoja kwa mmoja kuwa na uelewa tu kwamba je, itumike kama kigezo au lah.

Na mara nyingi ukiwa mgombea mwenye elimu kubwa, ni kawaida sana kujengewa fitina kwamba umechakachua au kampeni zako haziwatendei haki wagombea wasio na elimu, au kwamba peleka elimu yako kwingine ukajenge taifa, sio kwenye nafasi ya ubunge kwani mujibu wa kanuni ya CCM, darasa la saba linatosha, na wananchi hawana haja ya kuzingatia kiwango cha elimu kama ni kigezo cha kukuchagua kama mgombea/mbunge. Nadhani mjadala ungeelekezwa zaidi juu ya kanuni hii badala ya kumjadili Mh Azzan ambae katika mazingira haya, hana hatia na ni mwakilishi halali wa wananchi wa jimbo la Kinondoni.

Mkuu nakuunga mkono 100% ndio maana kwenye katiba mpya inatakiwa ipitishwe sheria ya mgombea wa ubunge japo awe na degree.

ImageUploadedByJamiiForums1401849561.037986.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
wewe lazima Azan anakufanya kinyume nyume. Issue hapa ni Azan wewe unataja majina ya wengine. kampanguse huyo bashar wako na wewe ukaoge. najisi wewe.

Hii ni dalili ya mtu psychotic... Toa hoja, matusi hayana tija ndugu!!! Unaweza kujiona mzima kumbe ni mgonjwa; better see a psychiatrist ! Thats purely psychiatric problem ! Fuata ushauri huu ndg, u will see some changes in you !
 
Kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za CCM, sifa ya elimu anayotakiwa kuwa nayo mbunge ni Elimu ya Darasa la Saba. Nadhani mjadala ukielekea huko utakuwa na tija zaidi ili kama kuna haja ya kufanya marekebisho basi hoja zijengwe in that context. Vinginevyo kwa mujibu wa kanuni za chaguzi za CCM, Mheshimiwa Azzan ni mbunge halali kwani Per kanuni za chama cha mapinduzi as of today, mgombea akiwa na kiwango cha elimu cha form four, form six, certificate, diploma, degree, n.k, hiyo inachukuliwa kama ni ziada tu na haipewi uzito na vikao vya kupitisha/kuchuja wagombea. Suala la elimu kwa sasa ni suala la wapiga kura mmoja kwa mmoja kuwa na uelewa tu kwamba je, itumike kama kigezo au lah.

Na mara nyingi ukiwa mgombea mwenye elimu kubwa, ni kawaida sana kujengewa fitina kwamba umechakachua au kampeni zako haziwatendei haki wagombea wasio na elimu, au kwamba peleka elimu yako kwingine ukajenge taifa, sio kwenye nafasi ya ubunge kwani mujibu wa kanuni ya CCM, darasa la saba linatosha, na wananchi hawana haja ya kuzingatia kiwango cha elimu kama ni kigezo cha kukuchagua kama mgombea/mbunge. Nadhani mjadala ungeelekezwa zaidi juu ya kanuni hii badala ya kumjadili Mh Azzan ambae katika mazingira haya, hana hatia na ni mwakilishi halali wa wananchi wa jimbo la Kinondoni.

kweli kabisa kaachwa prof.Sarungi kule rolya lengo ni kupata "ndio mzee " kwa wingi
 
Ya Zungu ni hii hapa kaka/dada!

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Tambaza Secondary SchoolOrdinary Level Education19681969SECONDARY
Tanzania/NCCProcurement Course2002DIPLOMA
CairoDiplomatic Studies2007DIPLOMA
Military College of AviationAviation Studies19701973ADV DIPLOMA
Sound Air CanadaAviation Studies19791980ADV DIPLOMA
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
Public Procuring Regulator AuthorityBoard Director2007
The Parliament of TanzaniaMember - Ilala Constituency20052015
Ilalla MunicipalDeputy Mayor20032005
Ilala MunicipalCouncilor20012002
UAEMaterial Manager19831993
Military College of AviationPrincipal Aircraft Maintanance Engineer19701982
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Commonwealth Parliamentary Association Tanzania BrChairman2011
City Council Investment CommitteeChairman2007
Foreign,Defence Home Security CommitteeVice Chairman20072011

kabla ya umri1970 mfumo wa elimu ulikuwa hadi darasa la nane na kuendelea .jamaa kasoma tambaza o level 2yrs nadhani mfumo mpya ulikuwa haujatengemaa .otherwise ananlea cv nzuri tu ni mtaalamu wa aircraft
 
sorry nilimaanisha kabla ya 1967
 
Kwa hii CV na ufanyakazi wa jamaa,inataka kufanya watu waone siasa ni sehemu ya kupoteza muda. Ila nimeelewa Private company hapa ndio zile za kuuza Sembe
 
Elimu si kigezo cha uongozi wa kisiasa kwa mujibu wa katiba tulonayo but si vibaya kesho ukatuwekewa cv ya mhe Joseph Mbilinyi
 
[h=2]Member of Parliament CV[/h]
GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1694.jpg
First Name: Livingstone
Middle Name: Joseph
Last Name:Lusinde
Member Type:Constituency Member
Constituent: Mtera
Political Party: CCM
Office Location: Box 50, Dodoma
Office Phone: +255 755 453327/+255 785 679927
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: llusinde@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 4 March 1972
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
CCM College IhemiCertificate20072008CERTIFICATE
Mbigili Primary SchoolPrimary Education19801987PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From To
The Parliament of TanzaniaMember - Mtera Constituency20102015
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretary - Tarime District20062010
Chama Cha Mapinduzi, CCMAssistant Secretary/Accountant20062007
CHADEMAMember - National Executive Board1995To Date
Civic United Front, CUFSecretary - Kawe Constituency19921995
Chama Cha Mapinduzi, CCMSecretaryTo date

[h=3] [/h]

Ya Zungu ni hii hapa kaka/dada!

EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Tambaza Secondary SchoolOrdinary Level Education19681969SECONDARY
Tanzania/NCCProcurement Course2002DIPLOMA
CairoDiplomatic Studies2007DIPLOMA
Military College of AviationAviation Studies19701973ADV DIPLOMA
Sound Air CanadaAviation Studies19791980ADV DIPLOMA
EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
Public Procuring Regulator AuthorityBoard Director2007
The Parliament of TanzaniaMember - Ilala Constituency20052015
Ilalla MunicipalDeputy Mayor20032005
Ilala MunicipalCouncilor20012002
UAEMaterial Manager19831993
Military College of AviationPrincipal Aircraft Maintanance Engineer19701982
POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position FromTo
Commonwealth Parliamentary Association Tanzania BrChairman2011
City Council Investment CommitteeChairman2007
Foreign,Defence Home Security CommitteeVice Chairman20072011

anamaliza O-LEVEL 1969 na mwaka 1970 anaenda kusomea ADVANCED DIPLOMA...sijaelewa hapa?? qualification zilitosha ati?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom