Hii ndio simu ghali zaidi duniani

Hii ndio simu ghali zaidi duniani

hiyo cm inakitu gani kipya mpaka iuzwe hiyo bei
Imetengenezwa kwa almasi tupu na dhahabu kwa nakshi hivyo hata ikiharibika unarud kuuza kiwandani pia ipo I mara kwenye usalama na ndan inaujazo mkubwa eternal memory ni GB 112
 
Mkuu upo nyuma ya Dunia ndio maana unabisha bila data hii gari si gari yenye thamani kubwa mpaka dakika hii gari yenye thamani kubwa soko ni ni Koenigsegg CCXR Trevista na inauzwa $4.8m na hyo ulioleta ni namba5 duniani kwa bei hii ndio topView attachment 322689
$4.8m kwa calculation za haraka haraka inakaribia bilioni 10...hivi tumia common sense gari ya gharama duniani iwe bilioni 10 halafu simu iwe bilioni 200 ambapo ni hayo magari 20 hata uwazi wa kina????
 
Mkuu hivi ni vitu viwili tofauti sasa kwa nn unabisha uzuri vyote vipo na taarifa zote na kampuni zipo fuatlia ujue ukweli lakin kwa nn wabisha wakati kuna wine inauzwa zaidi ya $1M kwa glass moja vipi hapo napo tena ka glass unakanywa kanaisha.
 
Diamond ikiwa ulaya ina thamani sana kuriko ikiwa shinyanga..madini ni yale yale sema tumeyatoa Bure kabisa kwa 3% harafu tunakuja kujadili gharama ni madini sio simu kama mnajua gharama ni madini kwa nini mnatoa Bure..
 
Kazi ya serikali mkuu ss wa lala hoi tuna kipi cha kufanya.
 
Nakumbuka Tajiri wa Africa aliwahi kuulizwa hili swali "Ni kitu gani cha thamani kununua binafsi katika. Maisha yako"!? Akasema, kitu cha thamani sana katika Maisha yake alichowahi kununua ni "Private Jet" akataja na Bei aliyonunulia: US$50Ml.

Kwa hiyo Bei ya Simu $95Ml,
kwa nn Mtu usinunue Private Jet nawe ukajidai huko angani mwenyewe Kama ilivyo kuwa kwa "Babu Samboke"!???
 
Yale Yale kansime, simu mbwembwe nyingi watu wanahitaji mawasiliano
 
Uongo wa mchana,huwa mnajichanganya sana vijana!
Share on Facebook

Top 10 Most Expensive Cell Phones

Next

#1 – Falcon SuperNova Pink Diamond iPhone 6 ($95.5 Million)

Nikweli wewe acha kubisha usilolijua kama huamini ingia google mm nimeingia nimeona
 
Quality ya hyo cmu ikoje mpaka iuzwe bei hyô? Huweki vocha, haiishi chaji, Internet bila kujiunga unlimited au ukidownload picha ya chakula kinakuja réal menu instead of pic??? Wat z soo spécial about t till iuzwe that much?
 
Back
Top Bottom