uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,216
- 788
Bei ya air bus duuuuu
Tumia akili badala ya tako hyo simu yako gharama uliyochukulia haitoshi hata bei ya chaja ya hii simu.View attachment 322751
Hiyo ninayoitumia nilipungukiwa laki 9 kuipata simu kama hiyo unayotaka kutuaminisha ni ya gharama.
Acha kudanganya hadharani kama usivyofanya mapenzi hadharani

Ikiharibika haitupwi unarud kiwandani mkuu madini hakuna screpaIkiharibika wanakupa nyingine au? Ni bora ukanunue Boeing a380
wewe unafikiria hivo tu????? na usalama wako je??Inaongeza nguvu za kiume?
Ina nn cha zaidii embu tupatie mnyambuliko wake...Inaitwa Falcon supernova pink Diamond iphone 6
Bei yake ukiwa na hiyo pesa wewe ni bilionea inauzwa USD 95.5milion (Bilioni 200 tz sh)View attachment 322631View attachment 322632
Hoja yako ni ipi sasa hapo simu inayotoka kampuni ya Vertu kwenye simu ghari duniani inashika namba4Hapo ni fix tu, tafuta simu huku ujionee, hatuongelei vi iphone, mambo ipo huku www.vertu.com
Ndipo utapo kimbiana , simu africa azijafika
Acha kukalili vitu vya mwaka 2014 tupo 2016 huyo vertu wako ni namba4 kwa sasa.Acha uongo,, simu ya bei ghali ni VERTU ASPIRE.
Ukiwa nayo unaenda mbinguni direct??