Hii ndio simu ghali zaidi duniani

Hii ndio simu ghali zaidi duniani

Tuliambiwa hii ndio simu ya Ghali zaidi....

Cc:Chief Mkwawa
1455265082746.jpg
 
Nakumbuka Tajiri wa Africa aliwahi kuulizwa hili swali "Ni kitu gani cha thamani kununua binafsi katika. Maisha yako"!? Akasema, kitu cha thamani sana katika Maisha yake alichowahi kununua ni "Private Jet" akataja na Bei aliyonunulia: US$50Ml.

Kwa hiyo Bei ya Simu $95Ml,
kwa nn Mtu usinunue Private Jet nawe ukajidai huko angani mwenyewe Kama ilivyo kuwa kwa "Babu Samboke"!???
Kwa hii simu zimo jet 2 km si zaidi.
 
ImageUploadedByJamiiForums1455267949.768209.jpg

Hiyo ninayoitumia nilipungukiwa laki 9 kuipata simu kama hiyo unayotaka kutuaminisha ni ya gharama.
Acha kudanganya hadharani kama usivyofanya mapenzi hadharani
 
Mmmmmmh hyooo bei hapana...maana mtoto mmoja wa tajiri bongo apa kanunua range rover autobiography cjui ni mwaka juzi ambayo imenakishiwa kwa gold tupu lakn haijafika thamani hyoo,sembuse simu.?
 
Dunia hubadilika hii simu ni kama mtu aliye vaa mkufu wa gharama...article of ostentation.....
 
Achen kuleta argue bila fact..ya kawaida sn hiyo sim maana hata mim ninayo ila sipend tu mjue maana ni risk pia
 
Lazima kuna wateja wake jamani kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake na pia ndege huruka kwa mbawa zake.
Pesa ina ibilisi yake na ni watu wachache sana huipangia pesa kui control na hao watu hupewa majina lukuki kama bakhili nati na mengine mengi.Ila wengi wetu pesa hututawala na kutuambia nunua hiki na kile na hapo ndo msemo wa jeuri ya pesa hutumika.
 
yaani wakuu wanatoka povu kwa kubisha, ishu ni kweli kabisa, iyo simu ukinunua ni km umenunua vito vya dhamani tu
 
Dunia ndivyo ilivyo wakuu, kwani Mwanamuziki Jose Camilion hakununua Kiatu cha kidigital chenye gharama ya tshs 26 milion?!
 
Back
Top Bottom