interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Kiujumla kwa mtizamo wangu tu huko kanda ya kaskazini si kwa Wachaga, Wapare, Wameru, Wairaki, Wambulu kasoro Wamasai tu, wako kimaslahi zaidi kuliko ubinadamu au hujiita "PESA MBELE UTU BAADAYE".
Na bahati nzuri nimeshakutana nao sana kwa 50% ya mabinti ambao nilishawahi kuwa nao ktk mahusiano.
Wanawake wa kanda hiyo huwezana wao kwa wao lkn si kwamba utokee nyanda za kusini, kanda za ziwa kuu au kanda za pwani ujue imekula kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app