Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,984
- 27,599
Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?Ukimwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako atakuokoa.
Huyo Yesu asipo aminiwa anapungukiwa nini?
Hivi huyo Yesu wako anajielewa kweli?
Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?Ukimwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako atakuokoa.
Anaonekana ana uhitaji mpka ana force watu wamuabudu yani kuna namna ana upungufu fulani asipo abudiwa🤔Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?
Huyo Yesu asipo aminiwa anapungukiwa nini?
Hivi huyo Yesu wako anajielewa kweli?
SetfreeAnaonekana ana uhitaji mpka ana force watu wamuabudu yani kuna namna ana upungufu fulani asipo abudiwa🤔
Huyo kiazi ndio kachanganyikiwa kabisa nilisha mweka ignore kitambo
Setfree ana msimamo wake .yeye yupo Kama anataka kutubatiza Kwa maslahi yake Binafsi Huku akisahau kwamba watu tuko na elimu ya haya mambo Tangu Sunday school..Huyo kiazi ndio kachanganyikiwa kabisa nilisha mweka ignore kitambo
Yesu akiaminiwa hanufaiki kwa faida ya kibinadamu kwa sababu yeye ni Mungu mkamilifu, lakini humfurahia sana mtu anapotubu na kumwamini kwa kuwa anakupenda na hataki uangamie; Yesu asipoaminiwa hapungukiwi chochote kwani utukufu wake hauathiriwi na imani ya mtu, bali ni mwanadamu anayepungukiwa kila kitu amani, msamaha, na uzima wa milele; na ndio, Yesu anajielewa kikamilifu, alijua alikotoka (mbinguni), alijua kusudi lake (kuokoa wanadamu), na alijua mwisho wake (kufufuka na kurudi kwa Baba), ndiyo maana anakuita leo kwa upendo akisema: “Njoo kwangu, ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha” (Mathayo 11:28).Huyo Yesu akiaminiwa anafaidika nini?
Huyo Yesu asipo aminiwa anapungukiwa nini?
Hivi huyo Yesu wako anajielewa kweli?
Kama Yesu asipoaminiwa au akiaminiwa hafaidiki, hapungukiwi na wala hanufaiki na chochote, Wewe unacho hangaika kumwelezea na kumtetea hapa ni nini?Yesu akiaminiwa hanufaiki kwa faida ya kibinadamu kwa sababu yeye ni Mungu mkamilifu, lakini humfurahia sana mtu anapotubu na kumwamini kwa kuwa anakupenda na hataki uangamie; Yesu asipoaminiwa hapungukiwi chochote kwani utukufu wake hauathiriwi na imani ya mtu, bali ni mwanadamu anayepungukiwa kila kitu amani, msamaha, na uzima wa milele; na ndio, Yesu anajielewa kikamilifu, alijua alikotoka (mbinguni), alijua kusudi lake (kuokoa wanadamu), na alijua mwisho wake (kufufuka na kurudi kwa Baba), ndiyo maana anakuita leo kwa upendo akisema: “Njoo kwangu, ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha” (Mathayo 11:28).
Aisee wadada siku hizi wanaokoka Kwa Kasi sana, Au ndo zile nyakati za mwisho zimekaribia🤔Watu wengi hutamani kumuona Yesu. Wanajiuliza, “Alikuwa na sura gani? Alionekana vipi? Alikuwa mtu wa namna gani?” Wengine hujaribu kutengeneza picha kwa mawazo, ndoto au sanaa. Lakini kuna njia moja ya uhakika ya kumuona Yesu kwa macho ya kweli ya rohoni kupitia Neno lake.
Ni kama vile unavyosoma riwaya nzuri: kadri unavyosoma, unamjengea mhusika sura kichwani mwako. Unaweza kumjua tabia yake, namna anavyotembea, anavyocheka, anavyopenda au kuchukia yote haya yanajitokeza kupitia maneno.
Hali ni hiyo hiyo kwa Yesu.
Ukisoma Biblia kwa moyo wa kujifunza na kuelewa, utamwona Yesu ndani ya kila ukurasa. Si kwa macho ya nyama, bali kwa macho ya roho. Utaanza kuona:
1. Yesu mwenye huruma kwa walioteseka
2. Yesu mwenye msamaha kwa waliomkosea
3. Yesu mwenye nguvu dhidi ya dhambi na kifo
4. Yesu mwaminifu, mpole, na mwenye mamlaka
Na mwisho wa yote, picha hiyo itaanza kuchorwa pia ndani ya moyo wako.
Yesu si simulizi tu, ni Neno hai. Ukisoma Biblia, si tu unamjua bali unamwona, unamgusa kwa imani, na maisha yako hubadilika milele.
“Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu...” (Yohana 1:14)
Leo, chukua muda wako. Fungua Biblia. Mkaribishe Roho Mtakatifu. Na utamwona Yesu sura yake, tabia yake, na upendo wake.
Picha ya Yesu haijachorwa kwa mikono ya binadamu, bali ndani ya Neno la Mungu.
Amefufuka kwenye maandishi na maneno tu.Kristo amefufuka
Aje ajisifie mwenyewe kama ana huo uwezo., Bwana Yesu asifiwe
Wadada wanaojifanya kuokoka ni Wazinzi na Malaya wastaafu wanao ji attach kwenye nyumba za ibada kujifanya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.Aisee wadada siku hizi wanaokoka Kwa Kasi sana, Au ndo zile nyakati za mwisho zimekaribia🤔
Kristo tumaini la mileleAmefufuka kwenye maandishi na maneno tu.
Aje ajisifie mwenyewe kama ana huo uwezo.
Kuna yule dada anajiita setfree, anapiga neno kinoma, anasema baada ya kuokoka sasa anampenda Yesu hataki Tena dhambi.Wadada wanaojifanya kuokoka ni Wazinzi na Malaya wastaafu wanao ji attach kwenye nyumba za ibada kujifanya kondoo kumbe ni mbwa mwitu.
Tumaini la milele na bado dunia inakupa maswahibu ya kila aina!!!Kristo tumaini la milele
Pasaka njema
Kuna mama mmoja huwa ananizmbiaga kristo ni dawa , mwisho wa siku ananiambia siku nikija nimjie na tramadol ya maumivu kwa ajili ya mgongo wake , huwa naishia kucheka sana.Tumaini la milele na bado dunia inakupa maswahibu ya kila aina!!!
Hayo ni matumaini uchwara tu ya kujifariji.
Ila kiuhalisia watu wanahenyeshwa na dunia.
Kuna maisha baada ya Dunia, hapa tunapita tuTumaini la milele na bado dunia inakupa maswahibu ya kila aina!!!
Hayo ni matumaini uchwara tu ya kujifariji.
Ila kiuhalisia watu wanahenyeshwa na dunia.