Kelvin35
JF-Expert Member
- Feb 26, 2023
- 1,199
- 1,828
duuh! katika member ambao JF hawaichukulii serious,nawe umo, yani sijui ni ...Nimemkumbuka Yesu wa Tongaren yupo kimya sanan
duuh! katika member ambao JF hawaichukulii serious,nawe umo, yani sijui ni ...Nimemkumbuka Yesu wa Tongaren yupo kimya sanan
Ni machizi au ni.... Nini? 😁duuh! katika member ambao JF hawaichukulii serious,nawe umo, yani sijui ni ...
Una maanisha kulikuwa na Mungu wawili si ndio?"ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba";
Huyo ndiye Yesu!
Kwanini unauliza hivyo?Una maanisha kulikuwa na Mungu wawili si ndio?
",naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa n kitu......." haya maneno Yana maana kulikuwa na Mungu wawiliKwanini unauliza hivyo?
Kuwa sawa na Mungu ni kuwa na sifa zote za Mungu. Nini huelewi?",naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa n kitu......." haya maneno Yana maana kulikuwa na Mungu wawili
Nikiwa na sifa zote za fundi umeme na Mimi nimekuwa fundi umeme.Kuwa sawa na Mungu ni kuwa na sifa zote za Mungu. Nini huelewi?
Twende kwa mfano wa rais; sifa za rais ni zipi?Nikiwa na sifa zote za fundi umeme na Mimi nimekuwa fundi umeme.
Nikiwa na sifa zote za rais na Mimi nimekuwa rais.
Nikiwa na sifa zote za Mungu na Mimi nimekuwa Mungu.
Bado kuna Mungu wawili.
Pivha ndio nini?Nimekuja mbio nikitaraji kuona pivha, nimeishia kuona maandishi tu
Rais atakuwa na Mamlaka ya kikatiba .Twende kwa mfano wa rais; sifa za rais ni zipi?
Kuwa na sifa za Mungu ndiye Mungu mwenyewe.Rais atakuwa na Mamlaka ya kikatiba .
Ikiwa Yesu ana Mamlaka yoyote na Mungu anayo pia basi kuna Mungu wawili.
RejeaKuwa na sifa za Mungu ndiye Mungu mwenyewe.
Kwa hiyo Mungu NI wawili 😎😎😎😎"ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba";
Huyo ndiye Yesu!
Kuwa sawa na Mungu ni kuwa Mungu bro.Rejea
Kwa hiyo Mungu NI wawili 😎😎😎😎
Yesu NI sawa na Mungu lakini Yesu usema Kwa Moyo wake thabiti kwamba yeye NI mwana WA Mungu .Kuwa sawa na Mungu ni kuwa Mungu bro.
Setfree prove that jesus once exist.Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Huyo Yesu ni sawa na Abunuwasi wa kwenye hekaya.
Hekaya za Biblia= Hekaya za Abunuwasi.
Yesu= Abunuwasi.
Fictional characters.
Imaginations just an illusion.
Upo nyuma kimaendeleo. Kwa mara ya kwanza nilimsoma Yesu kwenye kitabu ya Historia cha form five na six. Kitabu kiliezea matukio yote ya historia mpaka vita ya pili ya dunia.Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Huyo Yesu ni sawa na Abunuwasi wa kwenye hekaya.
Hekaya za Biblia= Hekaya za Abunuwasi.
Yesu= Abunuwasi.
Fictional characters.
Imaginations just an illusion.
Halafu Yesu alikuwa akipiga stori na wenye dhambi.Wenye dini wakinung'unika aliwambia sikuja kuwaokoa wenye haki Bali wenye dhambi huku sisi tukiwatengaWatu wengi hutamani kumuona Yesu. Wanajiuliza, “Alikuwa na sura gani? Alionekana vipi? Alikuwa mtu wa namna gani?” Wengine hujaribu kutengeneza picha kwa mawazo, ndoto au sanaa. Lakini kuna njia moja ya uhakika ya kumuona Yesu kwa macho ya kweli ya rohoni kupitia Neno lake.
Ni kama vile unavyosoma riwaya nzuri: kadri unavyosoma, unamjengea mhusika sura kichwani mwako. Unaweza kumjua tabia yake, namna anavyotembea, anavyocheka, anavyopenda au kuchukia yote haya yanajitokeza kupitia maneno.
Hali ni hiyo hiyo kwa Yesu.
Ukisoma Biblia kwa moyo wa kujifunza na kuelewa, utamwona Yesu ndani ya kila ukurasa. Si kwa macho ya nyama, bali kwa macho ya roho. Utaanza kuona:
1. Yesu mwenye huruma kwa walioteseka
2. Yesu mwenye msamaha kwa waliomkosea
3. Yesu mwenye nguvu dhidi ya dhambi na kifo
4. Yesu mwaminifu, mpole, na mwenye mamlaka
Na mwisho wa yote, picha hiyo itaanza kuchorwa pia ndani ya moyo wako.
Yesu si simulizi tu, ni Neno hai. Ukisoma Biblia, si tu unamjua bali unamwona, unamgusa kwa imani, na maisha yako hubadilika milele.
“Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu...” (Yohana 1:14)
Leo, chukua muda wako. Fungua Biblia. Mkaribishe Roho Mtakatifu. Na utamwona Yesu sura yake, tabia yake, na upendo wake.
Picha ya Yesu haijachorwa kwa mikono ya binadamu, bali ndani ya Neno la Mungu.