muongozaji
JF-Expert Member
- Oct 9, 2009
- 1,386
- 999
sana sana punt land ama somalilend kuna utuliv
Uko sahihi...
sana sana punt land ama somalilend kuna utuliv
Somaliland ilishajitoa Somalia, ni Nchi sasa. Puntland ni jimbo la Somalia japo wana utawala wa ndani na wanataka kwa muda mrefu kutambuliwa kama Nchi huruSomalia na Somaliland je kunautofauti?
Kama jamaa wangekuwa hawana vita hii miaka 26 nakuhakikishia wangeongoza kwa east afrika kwa maendeleo kwa sasa, maana wao kwa umoja utawapenda
Duh ndio uwanja wa taifa nin?
Hakuna umoja Somalia acha kuongopea umma. Kama wangekuwa na umoja wasingekuwa na vita vya wao kwa wao ilhali wana dini moja na kuongea lugha moja.Kama jamaa wangekuwa hawana vita hii miaka 26 nakuhakikishia wangeongoza kwa east afrika kwa maendeleo kwa sasa, maana wao kwa umoja utawapenda
Hujui nini unaongelea. Kuwa na pesa yenye nguvu doesn't necessarily mean umeendelea. Kuna nchi zina pesa zenye thamani zaidi ya dollar ila wapo nyuma sana kwa maendeleo kulinganisha na US, meanwhile China na South Korea zinashusha thamani ya pesa zao makusudi ili waweze Kuexport bidhaa zaidi
Hiyo ni baadhi ya miradi mikubwa inayoendelea Somalia kwa ufadhili wa serikali ya Uturuki, pamoja na vita yao kwa zaidi ya miaka 25 huwezi kuamini Shilingi yao ina nguvu kuzidi yetu wazee wa amani
Hiyo ni baadhi ya miradi mikubwa inayoendelea Somalia kwa ufadhili wa serikali ya Uturuki, pamoja na vita yao kwa zaidi ya miaka 25 huwezi kuamini Shilingi yao ina nguvu kuzidi yetu wazee wa amani
Watu wanaopenda vita hawaijui vita! Wamezowea kuiona vita kwenye tv tu au kuisoma kwenye Magazeti na Vitabu,Amani ikipotea sio rahisi kuirejesha tena,na vita huathiri kila mtu,thamani ya amani utaijua zaidi pale utakapo ipoteza tu.Vita sio jambo jema, nashangaa sana wanao penda nchi imwage damu
ndio maana ni timu pekee tusiyoihofia