Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,540
- 7,452
Huu ni moja ya mji mzuri kabisa katika ukanda wa afrika mashariki, mji uliopembezoni mwa bahari ya hindi kama ilivyo miji ya Mombasa, Dar ES salaam, Tanga na mingine
Ukitazama picha za mji wa Mogadishu utagundua kuwa kama isingekuwa vita ya wao kwa wao, basi Mogadishu ingekuwa mbali sana kimaendeleo,
Tusisahau hawa ndugu zetu wasomali Kwanza ni watu wa kazi sana,sio wavivu wachapakazi sana, ni watu wa kujituma sana na hawakati tamaa kirahisi,
Sifa zao hizo wangezitumia kujenga nchi yao basi naamini Somalia ingekuwa juu ya Rwanda leo kwa maendeleo,