Hii ndio mikosi ya safari ya mwanza leo

Leo nilikuwa na safari ya kuja mwanza lkn safari imejaa vikwazo na majanga ya hapa na pale.toka tunatoka ubungo ilianza mikosi kwa kufaurishwa kwenye basi la KAMBA'S

kama kawaida ya folen dar nachokilikuwa kikwazo kingine.
Tulianza safari kufika mbez gar ikasumbua ikarekebishwa safari ikaendelea.

Kabla hatuja maliza morogoro dereva akapokea kichapo kikali toka kwa wanajeshi baada ya kuwachomekea.

Safari ikaendelea maeneo ya manyoni tukakutana na majanga mengine barabara ilizibwa na wanakijiji baada ya kupanga mawe na magogo barabaran kwa madai ya kuwa mwenzao kagongwa na gari na kufariki.
Sasa tumelala shinyanga ni baada ya kusikia ya kuwa gari zilizo tangulia zimetekwa picha za matukio ninazo nitaziweka soon

Mkuu, hivi kutoka Shinyanga mpaka Mwanza kuna pori hapo katikati? Ni kama vijiji tu mpaka mwanza, sasa hao vibaka waliteka magar sehem gani?
 
Keshafika huyo, niko naye hapa!

He, kumbe chanzo cha mikosi ni wewe, maana naskia jamaa kaondoka nyumbani kaacha elfu kumi tu, ada ya watoto, pesa ya xmass, pesa ya nyu yia yote anayo yeye anasema mtoto wa babu yake mdogo upande wa shangazi waliochangia mjomba anaumwa sana hivyo anataka kwenda kumuuguza bugando!
 
Mkuu, hivi kutoka Shinyanga mpaka Mwanza kuna pori hapo katikati? Ni kama vijiji tu mpaka mwanza, sasa hao vibaka waliteka magar sehem gani?

wanateka sana katikati ya maganzo na ilula mkuu, kwenye matuta ya roads kwan lazima gar ipoe matuta yake ni mabaya. Ata me nimeshawai kutekwa na bunda bus.
 
Mkuu, hivi kutoka Shinyanga mpaka Mwanza kuna pori hapo katikati? Ni kama vijiji tu mpaka mwanza, sasa hao vibaka waliteka magar sehem gani?

Mkuu hakuna pori ni vijiji tu but hiyo ndo sehemu kubwa ambapo magari hutekwa.ukitoka shy ukafika misungwi hasa kuanzia mida ya saa 3 ucku shukuru Mungu.majambaz huwa wana kiroli wanachotumia kubebea mawe.ukiwa una drive wanajitahid wa kuovertake,wakikuovertake tu wanabinua mawe road kuziba njia.ndo utajua dunia rangi rangire.au huwa wanapaki maeneo ya maganzo nje kidogo na mji.basi likipita mwenzao anawapigia cm kuwajulisha.wakiliona linakaribia wanachomekea kiroli kwa mbele mziki unaanza
 
Nimepiga ramli hapa nimeona watu watatu ndio vikwazo believe me. kwanza kuna mdada amebeba maiti ya mtoto mdogo. tizama utaona kuna mdada hajamnyonyesha mtoto tangu mwanzo wa safari halafu ana manukato makali kuzuia smell ya maiti. Pili kuna mzee mtu wa heshima alopiga cha asubuhi na kahaba halafu hakuoga akihofia kuobiwa na kahaba akiwa baguni. Tatu kuna mtu amevaa kanzu na mawani meusi ametoka kununua uchawi Handeni Tanga. ushauri. badilo gari samehe nauli na nunua kitambaa cheupe na usitembee na mwanamke mwenye chupi nyekundu
 
Leo nilikuwa na safari ya kuja mwanza lkn safari imejaa vikwazo na majanga ya hapa na pale.toka tunatoka ubungo ilianza mikosi kwa kufaurishwa kwenye basi la KAMBA'S

kama kawaida ya folen dar nachokilikuwa kikwazo kingine.
Tulianza safari kufika mbez gar ikasumbua ikarekebishwa safari ikaendelea.

Kabla hatuja maliza morogoro dereva akapokea kichapo kikali toka kwa wanajeshi baada ya kuwachomekea.

Safari ikaendelea maeneo ya manyoni tukakutana na majanga mengine barabara ilizibwa na wanakijiji baada ya kupanga mawe na magogo barabaran kwa madai ya kuwa mwenzao kagongwa na gari na kufariki.
Sasa tumelala shinyanga ni baada ya kusikia ya kuwa gari zilizo tangulia zimetekwa picha za matukio ninazo nitaziweka soon

Sa ivi ni saa 14:12, mnalalaje?
 
Mkuu hakuna pori ni vijiji tu but hiyo ndo sehemu kubwa ambapo magari hutekwa.ukitoka shy ukafika misungwi hasa kuanzia mida ya saa 3 ucku shukuru Mungu.majambaz huwa wana kiroli wanachotumia kubebea mawe.ukiwa una drive wanajitahid wa kuovertake,wakikuovertake tu wanabinua mawe road kuziba njia.ndo utajua dunia rangi rangire.au huwa wanapaki maeneo ya maganzo nje kidogo na mji.basi likipita mwenzao anawapigia cm kuwajulisha.wakiliona linakaribia wanachomekea kiroli kwa mbele mziki unaanza
very profesheno.
 
He, kumbe chanzo cha mikosi ni wewe, maana naskia jamaa kaondoka nyumbani kaacha elfu kumi tu, ada ya watoto, pesa ya xmass, pesa ya nyu yia yote anayo yeye anasema mtoto wa babu yake mdogo upande wa shangazi waliochangia mjomba anaumwa sana hivyo anataka kwenda kumuuguza bugando!

Hiyo hainihusu!!!
 
Kwa ndugu zangu mnaoenda Bukoba, kuna fimbo huko hasa kutoka Kahama hadi Rusahunga sio sana ila kutoka Rusahunga

kuja kulikata poli la Kassindaga na kwa mwezi huu wa mavuno kukwepa kiboko au lugha rahisi fimbo ni kwa NADRA

NA SIJUI NI KWA NN SERIKARI IMEPASHINDWA HAPA!!!?
 
Nimepiga ramli hapa nimeona watu watatu ndio vikwazo believe me. kwanza kuna mdada amebeba maiti ya mtoto mdogo. tizama utaona kuna mdada hajamnyonyesha mtoto tangu mwanzo wa safari halafu ana manukato makali kuzuia smell ya maiti. Pili kuna mzee mtu wa heshima alopiga cha asubuhi na kahaba halafu hakuoga akihofia kuobiwa na kahaba akiwa baguni. Tatu kuna mtu amevaa kanzu na mawani meusi ametoka kununua uchawi Handeni Tanga. ushauri. badilo gari samehe nauli na nunua kitambaa cheupe na usitembee na mwanamke mwenye chupi nyekundu

So funny...kalala na kahaba halafu hajaoga.....baada ya mgegedo....
 
Kwa ndugu zangu mnaoenda Bukoba, kuna fimbo huko hasa kutoka Kahama hadi Rusahunga sio sana ila kutoka Rusahunga

kuja kulikata poli la Kassindaga na kwa mwezi huu wa mavuno kukwepa kiboko au lugha rahisi fimbo ni kwa NADRA

NA SIJUI NI KWA NN SERIKARI IMEPASHINDWA HAPA!!!?

Hilo ni deal lao hawawezi kuzuia...
 
Kwa ndugu zangu mnaoenda Bukoba, kuna fimbo huko hasa kutoka Kahama hadi Rusahunga sio sana ila kutoka Rusahunga

kuja kulikata poli la Kassindaga na kwa mwezi huu wa mavuno kukwepa kiboko au lugha rahisi fimbo ni kwa NADRA

NA SIJUI NI KWA NN SERIKARI IMEPASHINDWA HAPA!!!?

Plus kuimbishwa nyimbo za mtaji wa masikini...
 
Back
Top Bottom