mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,174
Keshafika huyo, niko naye hapa!
maskini hela zake zimeliwa!!!!!
Keshafika huyo, niko naye hapa!
Kwa ndugu zangu mnaoenda Bukoba, kuna fimbo huko hasa kutoka Kahama hadi Rusahunga sio sana ila kutoka Rusahunga
kuja kulikata poli la Kassindaga na kwa mwezi huu wa mavuno kukwepa kiboko au lugha rahisi fimbo ni kwa NADRA
NA SIJUI NI KWA NN SERIKARI IMEPASHINDWA HAPA!!!?
maskini hela zake zimeliwa!!!!!
Mkuu hakuna pori ni vijiji tu but hiyo ndo sehemu kubwa ambapo magari hutekwa.ukitoka shy ukafika misungwi hasa kuanzia mida ya saa 3 ucku shukuru Mungu.majambaz huwa wana kiroli wanachotumia kubebea mawe.ukiwa una drive wanajitahid wa kuovertake,wakikuovertake tu wanabinua mawe road kuziba njia.ndo utajua dunia rangi rangire.au huwa wanapaki maeneo ya maganzo nje kidogo na mji.basi likipita mwenzao anawapigia cm kuwajulisha.wakiliona linakaribia wanachomekea kiroli kwa mbele mziki unaanza
very profesheno.
Leo nilikuwa na safari ya kuja mwanza lkn safari imejaa vikwazo na majanga ya hapa na pale.toka tunatoka ubungo ilianza mikosi kwa kufaurishwa kwenye basi la KAMBA'S
kama kawaida ya folen dar nachokilikuwa kikwazo kingine.
Tulianza safari kufika mbez gar ikasumbua ikarekebishwa safari ikaendelea.
Kabla hatuja maliza morogoro dereva akapokea kichapo kikali toka kwa wanajeshi baada ya kuwachomekea.
Safari ikaendelea maeneo ya manyoni tukakutana na majanga mengine barabara ilizibwa na wanakijiji baada ya kupanga mawe na magogo barabaran kwa madai ya kuwa mwenzao kagongwa na gari na kufariki.
Sasa tumelala shinyanga ni baada ya kusikia ya kuwa gari zilizo tangulia zimetekwa picha za matukio ninazo nitaziweka soon
hivi kumbe ni ww ndio ulikuwa unajichekesha chekesha na kujipitisha karibu yangu??
duuuu mm hata sikukutambua pole sana bana kwakukutolea mbavuni?
Yaan mie nijichekeshe??? Hujui umefunga safari toka dar kwa ajili yangu??? Na hapa utakaa mwezi mzima...