Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,357
- 23,760
- Thread starter
- #21
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendaloKwakuwa ww ni qma unajifanya hujui nguvu iliyotumika kukusanya raia hapo!

Mbona wewe hujazolewa?Anaepewa na Mungu hatumii nguvu za ziada ili akubalike. Bila ya zoazoa hamna watu wanaenda. Unajua kuna ajali huko imeuwa watu na wengine majeruhi wako hospital?
Nimechanganyokiwa kuona rais mzima anakosa ushawishi kwa wananchi wake mpk kuamua kuwakusanya wanafunziNaona umechanganyikiwa baada ya kuona mafuriko ya watu kila aendako na kupita Mheshimiwa Rais.
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa Mungu kwa mtu. Huwezi kupingana na Mipango ya Mungu.
Huwezi kumshinda au kumshusha aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu. Huwezi kumzuia aliyeruhusiwa na Mungu na kupewa kibali cha kusonga mbele.
Mungu ndiye humsahilisha mtu na hata kumheshimisha. Ni Mungu ndiye aliyemuinua Daudi kutoka porini alikokuwa akichunga kondoo. Ni Mungu ndiye aliyembariki Ibrahimu. Ni Mungu ndiye aliyempatia Yusuphu kibali mbele ya mfalme na ugeni. Ni Mungu ndiye aliyemuinua Samweli . Ni Mungu ndiye aliyetengeneza njia katikati ya Bahari na hatimaye wana wa Israeli kupita.
Ukiangalia na kufuatilia kinachoendelea katika mikutano ya kampeni ya Rais Samia na namna mafuriko ya watu wanavyomiminika . Unagundua kabisa kwa jicho la rohoni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu, kainuliwa na Mungu,kapewa kibali na Mungu,kabarikiwa na Mungu na kuongozwa na Mungu Mwenyewe.
Kinachoonekana kwa uwazi kabisa ni kuwa Ni Kusudi au Mungu Mwenyewe alikusudia Rais Wetu Mpendwa Mama Samia kuongoza Taifa letu kama Mkuu wa Nchi, kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
Rais Samia alishaandaliwa na Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu. Kumpinga Rais Samia au kumshambulia kwa maneno ya uongo ,uzushi na uchonganishi ni kumkosea Mungu Mwenyewe n kujitafutia laana tu. Ni sawa na kupingana na Mungu Mwenyewe jambo ambalo hakuna mwanadamu awezaye kushinda au kushindana na kusudi la Mungu au mipango ya Mungu ya kumfanya Rais Samia kuongoza Taifa letu.
Rais Samia Hazuiliki na wala hakuna awezaye kumzuia Mama yetu. Ndio Sababu ya kuona namna Anapendwa ,kukubalika na kuungwa mkono. Kwa kuwa anafanya kile ambacho Mungu amepanga kifanyike katika Taifa letu. Anafanya kile Watanzania walikuwa wakimuomba Mungu na kutaka kifanyike hapa Nchini.
Ndio maana ya kuona habari za falsafa za 4R Ambazo zimelileta pamoja Taifa letu. Mnaona namna alivyogusa Maisha ya watanzania na kumfikia kila mmoja wetu pasipo kumuacha yeyote yule nyuma.
Kwa hakika Rais Samia Ni Zawadi kwa Taifa letu tunayopaswa kuitunza, kujivunia na kuilinda kwa wivu mkubwa sana na kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3460553View attachment 3460554View attachment 3460555View attachment 3460556View attachment 3460557
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi sio.Mbona wewe hujazolewa?
Kinachonisaidia mimi wengine hawana!Mbona wewe hujauwawa wala kutekwa?
And that God must be crazy!!Ndugu zangu Watanzania,

Kwakweli huyu Mama anayeitwa Samia Suluhu Hassan, chadema masalia (chakavu) al-maarufu nyumbu, kwa hakika watasimulia maisha yao yote. Si kwa kiwapelekesha Huku. Mama anaupiga mwingi mpaka unapwakula namna hii😳😳😳
Jambo la kupendeza zaidi ni kuwa
Wajinga ndiyo waliwao. Wewe ni jinga na huna Cha maana na huna faida kwa Taifa. Kufa *****. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaNdugu zangu Watanzania,
Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa Mungu kwa mtu. Huwezi kupingana na Mipango ya Mungu.
Huwezi kumshinda au kumshusha aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu. Huwezi kumzuia aliyeruhusiwa na Mungu na kupewa kibali cha kusonga mbele.
Mungu ndiye humsahilisha mtu na hata kumheshimisha. Ni Mungu ndiye aliyemuinua Daudi kutoka porini alikokuwa akichunga kondoo. Ni Mungu ndiye aliyembariki Ibrahimu. Ni Mungu ndiye aliyempatia Yusuphu kibali mbele ya mfalme na ugeni. Ni Mungu ndiye aliyemuinua Samweli . Ni Mungu ndiye aliyetengeneza njia katikati ya Bahari na hatimaye wana wa Israeli kupita.
Ukiangalia na kufuatilia kinachoendelea katika mikutano ya kampeni ya Rais Samia na namna mafuriko ya watu wanavyomiminika . Unagundua kabisa kwa jicho la rohoni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu, kainuliwa na Mungu,kapewa kibali na Mungu,kabarikiwa na Mungu na kuongozwa na Mungu Mwenyewe.
Kinachoonekana kwa uwazi kabisa ni kuwa Ni Kusudi au Mungu Mwenyewe alikusudia Rais Wetu Mpendwa Mama Samia kuongoza Taifa letu kama Mkuu wa Nchi, kiongozi wa serikali na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
Rais Samia alishaandaliwa na Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu. Kumpinga Rais Samia au kumshambulia kwa maneno ya uongo ,uzushi na uchonganishi ni kumkosea Mungu Mwenyewe n kujitafutia laana tu. Ni sawa na kupingana na Mungu Mwenyewe jambo ambalo hakuna mwanadamu awezaye kushinda au kushindana na kusudi la Mungu au mipango ya Mungu ya kumfanya Rais Samia kuongoza Taifa letu.
Rais Samia Hazuiliki na wala hakuna awezaye kumzuia Mama yetu. Ndio Sababu ya kuona namna Anapendwa ,kukubalika na kuungwa mkono. Kwa kuwa anafanya kile ambacho Mungu amepanga kifanyike katika Taifa letu. Anafanya kile Watanzania walikuwa wakimuomba Mungu na kutaka kifanyike hapa Nchini.
Ndio maana ya kuona habari za falsafa za 4R Ambazo zimelileta pamoja Taifa letu. Mnaona namna alivyogusa Maisha ya watanzania na kumfikia kila mmoja wetu pasipo kumuacha yeyote yule nyuma.
Kwa hakika Rais Samia Ni Zawadi kwa Taifa letu tunayopaswa kuitunza, kujivunia na kuilinda kwa wivu mkubwa sana na kwa gharama yoyote ile iwayo.View attachment 3460553View attachment 3460554View attachment 3460555View attachment 3460556View attachment 3460557
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ndiye kufa hata sasaWajinga ndiyo waliwao. Wewe ni jinga na huna Cha maana na huna faida kwa Taifa. Kufa *****. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Shida yako umejimilikisha Mungu na maandiko yake!!! Kwamaana Mungu utamtumia kwa maslahi yako yanapokuwa vile unataka. !!!Aliandaliwa na Mungu au Rstm na genge lake, kama ana kibali kwa nini vurugu zinakuwq nyingi namna hii. Hujielewi.
Ndio apo walipoambiwa CCM kwasasa tupo milioni 11 + akuelewa somo!!!!Mbona wewe hujazolewa?