Sasa wewe unabisha nini???T537 BEF na T526ARY ipi ni yakwanza wabongo kwa kubisha anweza kukubishia hata kiwembe akasema ni panga!!:bange::majani7:hiyo sio ya kwanza kaka coz ipo nyingine ni nyeusi no zake ni T537 BEF,nimeshindwa kutundika picha yake coz natumia cm,ila ni kali hatari
Nimekupendaje????Maneno ya wakosaji! muacheni mwenzenu apumuweeeeee.....!
Najaribu kuangalia vyema naona ipo barabarani nadhani inatembea lakini kama macho yangu hayakosei sioni kama kuna mtu ndani. samahani lakini
..mbaya zaidi huku bongo tunajua hammer,vx,benz na vigari vyetu tunavyopigana pasi na daladala kila siku, bilioni moja niitupe kwenye gari !! wakati ka vx keusi tu trafiki wanakaogopa ??
hiyo sio ya kwanza kaka coz ipo nyingine ni nyeusi no zake ni T537 BEF,nimeshindwa kutundika picha yake coz natumia cm,ila ni kali hatari
nipo mkuu mambo mengi ila najitahidi hivyo hivyo mara moja moja kuja kuwawashia moto kule nyumbani kwenu ccUmepotea sana jembe, upo!?
Inashangaza kwa mtu aliye na akili timamu kufanya kitu cha kipuuzi kama hiki. Mtu unapata prestige gani kuendesha gari kama hili Bongo? Au labda uwe unaendesha kwenye parking lot yako maana hapa jijini na hii milima Kilimanjaro (matuta yasiyopimwa ubora) na maziwa ya ghafla (mashimo yaliyojaa maji barabarani) si mtu unajitakia kifo tu na Kigali kama hiki?Hapa umesema kweli, bado matuta yaliyojaa kila kona, hadi mitaani yapo, me hapa altezza linanitoa jasho, kwenye matuta natamani nilie, naenda kulinyanyua bila kupenda, sembuse hili hata kwenye kijishimo kupita mbinde
tele nimejaa ka bahari, na wewe babito upo?Ha ha haaa!!! Upo bibie?
upo babito?? mi miss u sana!Nimekupendaje????
sinikasikia unakuja msibani kwa pande za mjeda mara jiiiii!!nini kilikusibu??upo babito?? mi miss u sana!
walimwengu ni wabaya sana! Naona hata aibu.......! Nitalipa fidia, imeniuma sana kukosa! Mzima wewe lakini??sinikasikia unakuja msibani kwa pande za mjeda mara jiiiii!!nini kilikusibu??
tele nimejaa ka bahari, na wewe babito upo?
Na ki FORD kimya