Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Kwa mama huko, Wallah iringa kuna neema sana,miaka mingi sijaenda nilipokwenda mwaka jana nilifurahi sana.
 
Mbona picha nyingine za Iringa ni kama picha zangu? Ni kama tuna mtazamo sawa! Lakini sijaona zile picha za nyumba nzuri kutoka yalipokuwa Makao Makuu ya Railway upande wa kushoto kuelekea Kihesa! Hata hivyo umeuonesha mji wa Iringa vizuri sana. Hongera sana! Haya mazuri ndiyo tunataka tuuoneshe Ulimwengu siyo uchafu. Tukumbuke hata sehemu nyingine kuna uchafu lakini hawauoneshi kwa maksudi kabisa!
Iringa uchafu , jalala la olofea
 
Pamoja na sifa zote iringa kuna tatizo kubwa la hoteli hakuna hoteli za maana, na town centre ni ndogo Sana
 
Mbeya vumbi sana mpaka kuna kera. Mbeya imejengwa vibaya sana hakuna mpangilio wa mji.
Huwezi kufananisha mbeya na iringa, mbeya mzunguko wa pesa ni mkubwa, majengo ya kisasa, hoteli nyingi, iringa ni kamji kadogo Sana acheni kuvutia kwenu, ofc zote za kanda ya nyanda za juu ziko mbeya kwa nini zisijengwe iringa
 
Umeandika vizuri sana bila ushabiki wa kisiasa ila kitu kimoja nahoji ...nilifurahia sana Jacarandah trees katika mji huo sijui kwanini mlizing'oa
 
Back
Top Bottom