Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Hii ndio Iringa halisi na watu wake

Hivi mkuu, kwann Iringa wameweka mnara kama huu, sijui kanisa sijui nn... wanamaanisha nn hasa..
Majibu tafadhari
sio mnara huo tuu tuna minara mingi aina aina
4cab894ca7f099b5a0d17c8403216b3c.jpg


Sent from my Redmi 4X using JamiiForums mobile app
 
sio mnara huo tuu tuna minara mingi aina aina
4cab894ca7f099b5a0d17c8403216b3c.jpg


Sent from my Redmi 4X using JamiiForums mobile app
ok.. but naomba utupie picha za Ipogolo stand ndogo, picha ya kaburi la chief Mkwawa na Pale round about (Samora)
 
Mh..IRINGA kuzuri aisee...ila naski baridi ndo KIBOKO yao
Siku moja tembelea pande hizo.

Kwa kweli kipande kile chote kina Baridi, kuanzia MAFINGA, MAKAMBAKO (Kuna Baridi na upepo mwingi fulani hivi, hapo MAKAMBAKO ukitaka kukoleza Moto Dakika Tano mbona nyingi, weka Kolezeo lako yaani Moto umeshakolea, ukisogea NJOMBE ndio usiseme kuna Baridi fulani ya kimya kimya inakuingia ile ile.

Asubuhi hapo NJOMBE ukungu ni kitu cha kawaida sana.

Sema hapo MAKAMBAKO mitaani kuna Nguruwe wengi kuliko Kuku
 
haya majengo ya dizaini hii nadhani yapo tz nzima maana nimeyaona tabora,arusha na mwanza nadhani yalijengwa na wahindi kipindi cha ukoloni

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Hizo ni baadhi ya nyumba za Ibada (temple) za kihindu nadhani..
Hata pale dsm pembeni mwa zile apartments za UVCCM lipo,
 
Chuo cha Ruco kipo wapi Mkuu je katika wilaya ya kilolo kuna chuo gani au taasisu gani ya Elimu
Ruaha Catholic University Kipo Iringa mjini mkuu
Kilolo hakuna Chuo kikuu, kuna Shule Za Sekondari na Chuo Cha Kilimo na Mifugo Ngongwa.
 
Iringaaaa! dah umenikumbusha mbali kidogo
Nilisoma Shule flan Iringa miaka michache iliyopita kiukweli nilipapenda, Nikiona hiyo barabara yenye mwinuko ya kuingia stand ukitokea Ipogoro inanifanya nitamani nyakati zijirudie, One of the best regions
1499725582370.jpg
 
Mm
Nashukuru mkuu barbosa, yapo mengi ya kujivunia kuhusu iringa, binafsi nikizeeka nitarudi iringa,
To me This is the best town in Tz.
Picha zangu haziko vizuri ila kama unazo tuletee, ni faraja sana kuona picha za mji wa iringa.
Mpaka uzeeke ndio urudi? Una mipango na Mungu wewe? Mhhhh
 
Back
Top Bottom